Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Ukiona hivi ujue unatafuta sababu ya kushindwa. Kama mtu wenu amepigwa chini, kubalini matokeo mwanangu.
 
Wanahesabu kura elfu moja siku nzima wataweza wapi kuhudumia wananchi milioni 60????

Sasa ndio watajua nani alitangulia mjini🤣🤣🤣

Wakome kuzodoa chama kubwa CCM
Kuhesabu kura na kuhudumia wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…