Mbowe anaungwa mkono na CCM na Dola hii peke yake inamuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti wa chama labda awe mwenyekiti wa hao wajumbe tuSote ni mashuhuda kwamba Freeman Aikaeli Mbowe anaungwa mkono na wajumbe wa mkutano mkuu wengi zaidi ya mgombea uenyekiti mwingine yeyote wa chadema, na kwahivyo anakwenda kushinda uchaguzi huu kwa kishindo.
Tayari visingizio kutoka kwa wapambe wa wagombea wanaowafungia wajumbe wao kwenye nyumba za kulala wageni, huku wakikosa kujua ratiba na kinachoendelea kwenye ukumbi wa uchaguzi, wameanza kupiga mayowe ya kushindwa, kanakwamba kuna rafu za uchaguzi hali ya kua wanajitakia wenyewe. Ni vichekesho na makusudi ya kujitakia tu, eti mpaka sasa kuna wajumbe hawajasajiliwa na hawana vitambulisho, wamefungiwa ndani tu.
Prof. Kitila Mkumbo amebainisha wazi kwa umma kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwmba, Freeman Aikaeli Mbowe hawezi kugombea nafasi ya uongozi ambayo hatashinda.
Ni muhimu sana wadau wa JF na wanachadema kwa ujumla, kuzingatia kauli hii ya kitaalamu kutoka kwa mwanafalsafa huyu wa siasa za Tanzania.
Kila la kheri wajumbe,
Kila la kheri Mbowe na Asanti Lisu kwa kushiriki uchaguzi wa chadema ngazi ya taifa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
UTV nadhani walisema wanarusha kama sijasaha
Shukran sana mkuu nimeweka nakuta Catherine Ruge anamaliza kuhojiwa na kasema wazi ni timu FAMUTV wanaonesha live mkuu,nipo hapa naangalia mubashara
Ulivyo mweupe kichwani hata katiba ya nchi huijui! 🚮🚮🚮CHADEMA wachukue uamuzi mgumu,wasimpe nafasi Mbowe wala Lisu,wampe nafasi Odero,itakuwa njia sahihi ya kuua makundi yote ndani ya CHADEMA.
Kisha uchaguzi mkuu Lisu agombee uraisi,Mbowe awe makamu wa Raisi
Mzee wa Karatu umeongeo vizuri sana. Hili ni jicho pevu. Sema ndo sio rahisi.CHADEMA wachukue uamuzi mgumu,wasimpe nafasi Mbowe wala Lisu,wampe nafasi Odero,itakuwa njia sahihi ya kuua makundi yote ndani ya CHADEMA.
Kisha uchaguzi mkuu Lisu agombee uraisi,Mbowe awe makamu wa Raisi
Hayo majini yako yanamchukia Lissu balaa.CV ya Lissu ni kubwa sana ktk harakati za upinzani Tanzania. Naweza kusema huwezi kuwataja wapinzani wa CCM bila kumtaja Lissu. Licha ya huvyo Lissu hakumfikia marehemu Seif jinsi ya kuisumbua CCM.
Seif licha ya kutokuwa kiongozi mkuu wa Cuf yaani Mwenyekiti lkn aliitikisha sana CCM hadi kufikia miafaka zaidi ya 3 na hatimae ikaundwa serekali ya kitaifa.
Maalim alianziasha harakati za jino kwa jino lakini pia harakati za maridhiano.
Maalim alifariki akiwa na heshima kubwa ktk siasa za upinzani.
LISSU.
Lissu licha ya kuwa mpinzani lkn mtego aliongia ushammaliza kisiasa. Mtego wa kutaka kuisambaratisha chadema kupitia lema na Heche limemtoa kabisa ktk siasa za chadema.
Tumuombeeni sana Lissu ktk siasa za upinzani. Lilobaki aende CCM akamalizie maisha yake
Lissu nje ya chadema hawezi kuendesha siasa. Siasa za lissu litigemea chadema.
Kwa hivyo za kumuombea lissu baada ya kushindwa ni muhimu
Kweli hili bicwa limejaa kamasi tupuna umbile lake linajieleza. sijawahi kuona taahira mwembamba 😅
Hahahahahahahah siasa ni mchezo mchafu wajumbe wanaweza kuzitupia kwake ili lissu na FAM wakafanye maridhiano ya namna ya kuendesha chama wakiwa pembeniOdero ni nani? Hana hata chawa?
Anatia hurumaOdero ni nani? Hana hata chawa?
Punguza mdomo Sagai!Kwamba na yeye amepewa b12 na Samia kama alizopewa Mbowe?
Nyumbu wa Dodoma wote wamehamia humu
Kumbe ndio leoWakuu,
Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je, nani ataibuka kidedea? Nani atatolewa kimasomaso na wajumbe?
Katika uchaguzi huu wajumbe watachagua Mwenyekiti Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti kwa Bara na Zanzibar, ambako ushindani mkubwa upo kati ya Mbowe na Lissu kwa nafasi ya Uenyekiti, na Wenje na Heche kwa nafasi ya Umakamu Uenyekiti.
Je, ni Mbowe au Lissu? Ni Heche au Wenje?
Orodha ya Wagombea wote ni;
Mwenyekiti Taifa
Makamu Mwenyekiti Bara
- Freeman Mbowe
- Odero Odero
- Tundu Lissu
Makamu Mwenyekiti Zanzibar
- Ezekia Wenye
- John Heche
- Mathayo Gekul
- Hafidh Saleh
- Said Issa Mohammed
- Said Mzee Said
- Suleiman Makame Issa
Updates za Matukio
mwache aweke historia, ni maboresho ya cv piaAnatia huruma
Mkuu,kuna mjumbe humu alileta Uzi kuwa aligombea kura za maoni na kila mjumbe alimwambie anakubalika kinoma na watamuunga mkono kwenye sanduku la kura,kura zilipopigwa aliambulia 0.Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.