Jf ya leo updates, za live mara lissu mara mbowe,
Acha tupaki pembni toangalie mtanange kimara foleni sana
Inaonekana umewakwaza maana si kwa mapovu ya hasira wanayokuangushia mkuu.Tusikwazane
Mungu yupo na Lissu.
Kakaaaaaa, nna furaha saaaana hapa. Mpaka nahisi machozi kunitoka.
Yeah confirmed tayari. Done deal. Natumaini hukuenda Selian 🤣
Jasusi alijiexpose mno na Wenje na yule sijui Ntabu
Umeona umuhimu wa demokrasia? Imejenga kuliko kubomoa. Leo mbowe angemuachia Lissu tu chama wala isingukuwa na mashamsham kama haya.Tunasamehe yote na wote tunaanza upyaaaa
Inaonekana umewakwaza maana si kwa mapovu ya hasira wanayokuangushia mkuu.
Hili la mvua linajambo lake maeneo mengi mno mvua imenyesha kwa wakati mmoja.Ushindi wa Mheshimiwa Lissu una Baraka za Muumba mbingu na nchi.
Huku niliko mvua inarindima muda huu baada ya jua kali kwa wiki kadhaa