Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Natumaini, Lisu,utafanya ulichokuwa unakihubili, usije ukawa kama William Ruto, aliwaamisha watu ye ye ni Bora, walipokuja kushituka, ni mtu mbovu kuliko wore, tangu Uhuru!
 
Yeah confirmed tayari. Done deal. Natumaini hukuenda Selian 🤣
Screenshot 2025-01-22 083625.png
 
Virus bado wapo ndani ya chama, Ile hela bado ipo ndani ya chama.
Lissu anapaswa kutumia akili sana kudeal na virus waliokula Ile hela maana lengo ni lilelile mama asisumbuliwe 2025.

Watu wa kanda ya Ziwa kazi kwenu sasa kuiadhibu CCM, mkumbuke hizi kauli ,"Wachawi wote wamekufa", "Wazuri hawafi"
 
Back
Top Bottom