Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Hapo kwenye mtoto wa mjini. Tulisikia pia kuwa jogoo wa shamba hawiki mjini. Ila huyu kawika.
 
Safari yetu ya kutoka nchi ya misri imeanza rasmi, sasa tunaenda kaanani.
Safari ya WATANGANYIKA kutoka misri dhidi ya FIRAUNI SAMIA BUSHIRI NA JESHI LAKE LA CCM...JE BAHARI ITAFUNGUKA NA KUMUANGAMIZA FIRAUNI NA JESHI LAKE .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…