Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Dakika za jioniii
Screenshot_20250122-083744~2.png
 
Hiki ndicho kilikuwa sahihi kufanyika. Waoga wa demokrasia walitaka Mbowe akae pembeni tu kumpisha Lissu.

Nilisema hawa jamaa wanatumia hii kuifanya chadema ibakie kwenye trend. Wamefanikiwa na itaendelea kubakia hivyo.

Hongera kwa Mbowe. Wewe ni mtoto wa mjini. Umejua kujaza kibubu kwa kuiweka chadema masikioni mwa watanzania.

Ni ushujaa kuliko aibu waliyokuwa wanadhani utapata.
Hapo kwenye mtoto wa mjini. Tulisikia pia kuwa jogoo wa shamba hawiki mjini. Ila huyu kawika.
 
Back
Top Bottom