Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Siasa walizofanya. Mbowe alikuwa anajua wanachokifanya. Wakawa wanawafix baadhi ya watu lakin kukipa chama relevance.Hapo kwenye mtoto wa mjini. Tulisikia pia kuwa jogoo wa shamba hawiki mjini. Ila huyu kawika.
Hapana! Ila Lissu anakuja na mapungufu yake mapyaJe itakuwa ndio yale ya Sheikh yule yule kanzu mpya?
Kuna wakati libonge mwili lilikua linaziokota Kwa 7:1.Uoga wako tu.
Lema lazima alitaka Lissu ashinde ili apate ukatibu mkuu kiurahisi.
Safari ya WATANGANYIKA kutoka misri dhidi ya FIRAUNI SAMIA BUSHIRI NA JESHI LAKE LA CCM...JE BAHARI ITAFUNGUKA NA KUMUANGAMIZA FIRAUNI NA JESHI LAKE .Ha ha ha
Chama tawala wasifanye mambo kwa mazoea?... Fafanua.Natoa rai mapema baada ya ushindi huu wa lissu.
Yale tuliyo yaona ya Biden kuondolewa kwenye kinyanganyiro ndani ya chama chake yawezekana yakatokea na Tz mwaka huu.
Kuna jambo kiroho liko nyuma ya ushindi wa Lissu.
Ile roho iliyoko ndani yake ikipandikizwa kwa usahihi kwa wanachama wake kama ilivo kuwa kwa Yeshua. Tutegemee kuona mabadiliko ya siasa za kistaarabu kwenda siasa za kushawishi kwa nguvu.
Huyu Mwanaume ana near death experience watu wa hivi kiroho wana jambo la kustaajabisha mno.
My Take Chama Tawala wasifanye mambo kwa mazoea. Hili litagharimu taifa sana sana.
Kama asemavyo Kaka Paskali the Voice from within has alot to say to us.
Mapungufu yapi hayo unafikiria?Hapana! Ila Lissu anakuja na mapungufu yake mapya
nimerudia kwenye geti la hosp.Yeah confirmed tayari. Done deal. Natumaini hukuenda Selian 🤣
Yes Kwa kiasi flanuwepo wa Lema,umechangia ushindi na ushawishi kwa Lisu.Uoga wako tu.
Lema lazima alitaka Lissu ashinde ili apate ukatibu mkuu kiurahisi.
Kwa machozi haya ya Watanzania hakika itafunguka na watanzania wenye mioyo safi tutapita, maccm yataangamia yote.Safari ya WATANGANYIKA kutoka misri dhidi ya FIRAUNI SAMIA BUSHIRI NA JESHI LAKE LA CCM...JE BAHARI ITAFUNGUKA NA KUMUANGAMIZA FIRAUNI NA JESHI LAKE .
Mbowe amejua jinsi ya kujinasua kwenye lawama na mtego wa kina AbduliEwaaaaaaaaaaaaaa. Leo sijui kama nitafanya kazi kwa raha nilizonazo. Mimi nampongeza zaidi Mbowe kuliko Lissu
Sijui bado! Hakuna mkamilifu hivyo msubiri loloteMapungufu yapi hayo unafikiria?
Naam kila sikio na lisikie.Aliyemtetea Lissu dhidi ya mashambulizi ya risasi na akatoka hai ndiye huyohuyo aliyemtetea na leo atoke na ushindi dhidi ya dhalimu Mbowe.
Ameeeeeeen.Naam kila sikio na lisikie.
Jiwe alikaza fuvu kama Farao akajaribu kupambana mtetezi huyo. Somo limwingie kila Farao aliye mbele atambue kuwa TAL ni mteule