Multaza Hr
Member
- Jan 10, 2025
- 83
- 182
Mbowe outHamna mbaya mkuu🤝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe outHamna mbaya mkuu🤝
Haitawezekana kuna backup generatorMbowe amewaomba Tanesco wazime umeme muda wa kuhesabu kura
Ghafla eti mapolisi wamekuwa ni rafiki wa CHADEMA na MBOWE.
View: https://youtu.be/yq6unmGcxGg?si=q05eMiYGBRsRf0Tq
Mbowe anatumia mbinu za MaCCM.
Nani...Baada ya kushindwa Leo uchaguzi je utamkumbuka Kwa jambo lipi ?.
Kuna mbinu za kisisiemuHaitawezekana kuna backup generator
Imagine leo East Africa yote iko trending na CDMCDM inamvuto sana .
Nadhan wananchi wako kwenye point ya mwisho kabisàaaa ya kuichoka CCM.
MboweNani...
Kina solar za kutosha piaKuna mbinu za kisisiemu
Lissu awe makini Mimi Nina back up phone yenye tochi Kali .
Chadema mashabiki wake wapo well ofImagine leo East Africa yote iko trending na CDM
Nchi nzima wamesahau kama juzi kati tu CCM walikuwa wanapita mitaani na mabasi yao.😂😂😂CCM yote ni kama wameajiriwa kuufuatilia huu uchaguzi, wapo bize kideoni hadi kula hawali😃
Nchi nzima wamesahau kama juzi kati tu CCM walikuwa wanapita mitaani na mabasi yao.
KonyagiMbowe
Ni mapema sanaMatokeo ya awali bado hayajaanza kuvuja??
Lema asiende kuleta upumbavu sasa huko! Kura za Lissu zikipungua asilete vuruguView attachment 3209028
Kikowapi sasa... Lema anawazuga nyie manyumbu... Antipas kaingia kwenye mtego... Lema kura zote za Lisu atamsogezea kaka Mbowe... Mbowe ana akili sana kuliko manyumbu wote 💩💩 unamjua Lema unamsikia wew, yaani unamchagua awe Wakala wako? Lema haaminiki popote anafika dau dakika sifuri 😅🤣
😹😹😹 Hivi wanalipwa?Naona ulikua ushaandika unasubiri sa6 kamili u press button
Malienge asipocheza faulo basi atapata atakua amekilinda chama kisife.Mbowe out
Ngoja nijisogeze nami niangalieWANANCHI NCHI NZIMA NDANI NA NJE YA MIPAKA WANAANGALIA.💪🏿👌🏿