Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
View attachment 3209028
Kikowapi sasa... Lema anawazuga nyie manyumbu... Antipas kaingia kwenye mtego... Lema kura zote za Lisu atamsogezea kaka Mbowe... Mbowe ana akili sana kuliko manyumbu wote 💩💩 unamjua Lema unamsikia wew, yaani unamchagua awe Wakala wako? Lema haaminiki popote anafika dau dakika sifuri 😅🤣
Lema asiende kuleta upumbavu sasa huko! Kura za Lissu zikipungua asilete vurugu
 
JF Lissu anachana anga kwa kasi kubwa saana.
 

Attachments

  • Screenshot_20250121-174119~2.png
    Screenshot_20250121-174119~2.png
    105.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom