Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh Mbowe umefanya Kazi kubwa Sana ila ngoja twende na Lissu kwanza legacy yako ni kubwa sana italindwa Sana .
Ngoja nijisogeze nami niangalie
Nia ya Lissu ni kuiinua tena Chadema kuaminiwa na kupendwa na wananchi tena. Hii inadhihirisha dhahiri kwamba urais 2025 Samia atakwenda kushinda tena kwa kishindo kikubwa sababu CDM kupitia Mbowe haina upinzani mkali kuchuana na Samia.
2030 uchaguzi unaweza ukawa wa moto zaidi sababu Lissu akiwa Mwenyekiti atakwenda kukisuka upya cha Chadema. Lissu, Heche na Lema wataenda kuisuka upya CDM iliyokufa na kuwa CDM bora zaidi kuwahi kutokea.
Too late labda next election inshallah tutafika hukoIngekuwa vyema sana kama Chadema wangefanya uchaguzi kidigitali. Yaani una cast your ballot 🗳 na inaonekana kwenye screen kubwa kuwa imeongezeka kwa nani na inapungua kwa nani.
Chondechonde Watanzania tumuunge mkono Lissu.
Kabisa, muhimu sana kuonesha njia am sure hata Tume ya uchaguzi wanaweza kufuata katika njia hiyo.Too late labda next election inshallah tutafika huko
Lakini sio wapiga kuraJF Lissu anachana anga kwa kasi kubwa saana.
Navalonge swela 😂😂😂😂View attachment 3209131
Yaani mkutano unafuatiliwa kama mechi ya Mpira vile...