Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Ngoja nijisogeze nami niangalie
965789ba-ce53-4f8c-9f34-9504a5b97fbf.jpeg
 
Nia ya Lissu ni kuiinua tena Chadema kuaminiwa na kupendwa na wananchi tena. Hii inadhihirisha dhahiri kwamba urais 2025 Samia atakwenda kushinda tena kwa kishindo kikubwa sababu CDM kupitia Mbowe haina upinzani mkali kuchuana na Samia.

2030 uchaguzi unaweza ukawa wa moto zaidi sababu Lissu akiwa Mwenyekiti atakwenda kukisuka upya cha Chadema. Lissu, Heche na Lema wataenda kuisuka upya CDM iliyokufa na kuwa CDM bora zaidi kuwahi kutokea.
 
CHADEMA Logo PNG Vector (EPS) Free Download.jpeg
 
Wajumbe Kama mnampenda Mbowe Kama ambavyo na sisi supporters wenu tunampenda Mbowe .

Hakikisha mnanyima kura .

Akishindwa atakuwa ameshinda Ila akishinda atakuwa ameshindwa.

Legacy au urithi wake ni kuongoza harakati na siasa za upinzani Kwa mafanikio makubwa zaidi ya miaka 20.

Hivyo amefika huwezo wa mwisho he has nothing to offer so Mpumzisheni ili abaki na heshima yake kubwa.

✌🤝🏿🇹🇿
 
Back
Top Bottom