Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Mungu ibariki CHADEMA
CHADEMA Logo PNG Vector (EPS) Free Download.jpeg
 
CV ya Lissu ni kubwa sana ktk harakati za upinzani Tanzania. Naweza kusema huwezi kuwataja wapinzani wa CCM bila kumtaja Lissu. Licha ya huvyo Lissu hakumfikia marehemu Seif jinsi ya kuisumbua CCM.
Seif licha ya kutokuwa kiongozi mkuu wa Cuf yaani Mwenyekiti lkn aliitikisha sana CCM hadi kufikia miafaka zaidi ya 3 na hatimae ikaundwa serekali ya kitaifa.
Maalim alianziasha harakati za jino kwa jino lakini pia harakati za maridhiano.
Maalim alifariki akiwa na heshima kubwa ktk siasa za upinzani.
LISSU.
Lissu licha ya kuwa mpinzani lkn mtego aliongia ushammaliza kisiasa. Mtego wa kutaka kuisambaratisha chadema kupitia lema na Heche limemtoa kabisa ktk siasa za chadema.
Tumuombeeni sana Lissu ktk siasa za upinzani. Lilobaki aende CCM akamalizie maisha yake
Lissu nje ya chadema hawezi kuendesha siasa. Siasa za lissu litigemea chadema.
Kwa hivyo za kumuombea lissu baada ya kushindwa ni muhimu
Seif alikuwa maarufu huko Zanzibar (ukubwa wa mkoa tu). Zaidi ni kuwa Maalimu hakupendwa kutokana na hoja ila aliwaunganisha Wazanzibar kupitia mrengo wa dini na wakamwamini, hakuwa na cha zaidi.
 
Seif alikuwa maarufu huko Zanzibar (ukubwa wa mkoa tu). Zaidi ni kuwa Maalimu hakupendwa kutokana na hoja ila aliwaunganisha Wazanzibar kupitia mrengo wa dini na wakamwamini, hakuwa na cha zaidi.
Kwa bahati wanaotukana chadema hivi sasa wote wakiristo. Lissu mkiristo na mbowe mkiristo
 
Back
Top Bottom