Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Uporaji umetokea sababu M/kiti kaishiwa makali! Sasa kwanini apewe miaka mingine tena ya kuongoza
Huoni wewe unayemsupport ndiye mpumbavu
Nimesema ashinde Lissu au Mbowe CHADEMA itabaki salama. Sasa wewe Sijui mihemko inatoka Wapi. Mimi Yoyote Yule Niko tayari kuendelea kuwa mwanachama wake
 
Sijawahi kutumikia cheo au nafasi yoyote kwenye chama au serikalini.

Mimi ni Cocochanel kiboko ya kuchokoza na kutingisha wa JF.

Naona kwa maneno yenu humu.. Roho zenu juu juu

Anzeni kujifunza kuvutia pumzi maana pogo mnalo leo 🤣🤣🤣
Wewe kada mtiifu toka enzi na enzi leo kama umetenguliwa sema usijifiche kwenye kichaka cha kuchokoza na kutingisha 😅😅
 
Nipo hapa paredini napiga mguu pande, mguu sawa!

Baada tu ya tangazo, kati ya mguu pande na mguu nje, tangazo hilo ndilo litaamua niweje yaani
 
Dah
Basi tena
Ndio hivyo mamii ndio maana nashangaa miemko ya humu kusema Lissu anashinda wakati huu uchaguzi unapigwa na wanachadema wenyewe sio wananchi kwa ujumla kutokana na Hilo wangeweka akiba ya maneno na bahati mbaya Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi
 
Naturally, huwezi kushindana facts
 

Attachments

  • FB_IMG_17375156359563352.jpg
    FB_IMG_17375156359563352.jpg
    202.1 KB · Views: 2
Kuna mdau amesema kura zingine Lema ameziweka miguuni.
Najaribu kutafuta angle ya kuzichungulia nakosa, tusaidiane katika hili mkongwe.
Mimi nachoona hapa ni Lema anakwapua kwa kasi sana halafu anatupia mezani hazipangi kama Bon 🤣🤣 sasa kwa angle ya kamera ni ngumu kuona kama anazisambaza au anatupia chini miguuni 🤣🤣
 
Back
Top Bottom