chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Lisu Hana mpinzani mpaka muda huuVp huko wadau youtube mb zimebakia kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu Hana mpinzani mpaka muda huuVp huko wadau youtube mb zimebakia kidogo
Chaguzi zote za TL toka yuko shule ya msingi huwa ziko hivyo, upendwa na waliowengi nje ya uongozi lakini viongozi ugawanyika na kuwa na hofu.Mbona kijani kibichi wanaweweseka sana huu uchaguzi wa CDM ?
Upepo hausomeki maana Lema anahesabu kura kama hela vile na kuzifunga mafungu nafungu kama vibunda vya hela.🤣🤣
Ila mkao wa Boniyai kwenye kitu ni kama wakukata tamaa hivi unafanya mashabiki wahizi kama vile team Machame inaona kuna dalili mbaya.
Uliniona wapi? Mimi mbona ni ka modelUnauonaje huo mwili? Halafu haujalala masaa zaidi ya 24, mabonge kwa usingizi hamjambo.🤣
Huo nduo uchaguzi sass, sio ile sherehe ya kumtoa mwali ndani juzi Dodoma.Hii ni fiesta au uchaguzi jaman
Tumeshinda na tumekeshaaa khaa
😂😂😂Bado mambo ni magumu
Utaibaje kura mbele ya watu elfu moja? Atakayeshinda na kushindwa, ni kwa njia halali kabisaMaccm yasipomsaidia mbowe kuiba kura sijui!.
Naona kura zake zimeisha asee kwa muda aliotumia hapa machame ni kilio 😁😁Halafu hana unene huooo ni kitambi kinamsulubu
kwa kufuatilia saikolojia ya ukumbini Lissu kaangusha mbuyu
Naona uchaguzi wa kidemokrasia umekutoa pangoni.
Tusubiri atakaetangazwa mshindi!Naona kura zake zimeisha asee kwa muda aliotumia hapa machame ni kilio 😁😁
Karibu Chadema ujifunze mengiNyakati za kuelimishana na kuelimisha umma hizi mkuu
Tusikae kimya
Kuhesabu kura na kuhudumia wapi na wapi?