Aidha watawala wapende au shinikizo toka kwa wanachi otherwise itakuwa historiaTanzania sijui ni lini tutakuwa na tume huru ya uchaguzi.
Soon watageuza matokeoTaarifa za awali zisizo rasmi za uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa DRC uliyofanyika hivi karibuni unaonysha tajiri Moise Katumbi anaongoza kwa 63.3% ya kura dhidi ya rais anayemaliza muda wake Felix Tshisekedi mwenye 21% ya kura
Chanzo cha habari hiyo ni shirika la habari la rtnc.
Hata Martin Fayulu alishinda ila Felix ndio alitangazwa.Taarifa za awali zisizo rasmi za uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa DRC uliyofanyika hivi karibuni unaonysha tajiri Moise Katumbi anaongoza kwa 63.3% ya kura dhidi ya rais anayemaliza muda wake Felix Tshisekedi mwenye 21% ya kura
Chanzo cha habari hiyo ni shirika la habari la rtnc.
Wee jamaaaa, unataka tukose madaraka au? Acha hizo mdau! Mbona tunawapa fea kishakaji?Tanzania sijui ni lini tutakuwa na tume huru ya uchaguzi.
Moise akizulumiwa ajiunge na M23 ili wamuondoe kwa nguvu Tishekedi.Hata Martin Fayulu alishinda ila Felix ndio alitangazwa.
Kwa Afrika mahindi ni anaetangazwa.
Mwisho DRC haiwezi angukia mikononi mwa vibaraka.Rais ni Felix
Pamoja na tatizo lake la kiafya uliona alivyoitikisa ccm? Angekuwa na afya njema wizi wa kura ungeshindikanaMbona walifanya hivyo kwa Edward Lowasa tena Lowasa alikuwa na nguvu nyingi sana wakati ule
Miye nafikiri kwanza tatizo ni katiba, tume huru na elimu ya urai kwa wananchi wetu uelewa wa wengi bado mdogo sana Kwenye mambo haya ya uchaguzi na demokrasia ya kweli
Ameshindwa kibaraka wenu Rwanda ndio atakuwa huyo tapeli wa Madini?Moise akizulumiwa ajiunge na M23 ili wamuondoe kwa nguvu Tishekedi.
Kama Tishekedi atashindwa kwenye Box la Kura halafu ang'ang'anie ataondolewa kwa nguvu Bilionea Moise sio kibaraka wa mtu yeyote.Ameshindwa kibaraka wenu Rwanda ndio atakuwa huyo tapeli wa Madini?
Mda huo Tanzania itakuwa wapi labda?
Siku tukiwaondoa wakoloni wa kizanzibari madarakani huenda tukafanikiwaTanzania sijui ni lini tutakuwa na tume huru ya uchaguzi.
yaani mbowe amshawishi Makonda ahamie Chadema sio 🤣Pamoja na matatizo la tume huru lakini wagombea wa vyama vya upinzani nalo ni tatizo lingine.
Siku vyama vya upinzani wakipata akili ya kushawishi viongozi wenye majina toka CCM na wakawasimamisha kuwa wagombea urais ndiyo siku kitatokea kifo cha CCM. Kwa sababu hiyo itasababisha mgawanyiko ndani ya CCM hivyo kundi linalomuunga mkono toka CCM ukijumlisha na wanachama wa upinzani ni lazima CCM ife natural death.
Eti moese sio kibaraka 🤣Kama Tishekedi atashindwa kwenye Box la Kura halafu ang'ang'anie ataondolewa kwa nguvu Bilionea Moise sio kibaraka wa mtu yeyote.
Ninyi mnapendelea zuluma za kiCCM zitawale Afrika nzima.
Si ungesema tu Moise ni kibaraka wa fulani nini kinakuzuia?Eti moese sio kibaraka 🤣
hakuna miongoni mwa wagombea zaidi ya 20 pale DRC anaweza mshinda Felix Tshisekedi....Hata Martin Fayulu alishinda ila Felix ndio alitangazwa.
Kwa Afrika mahindi ni anaetangazwa.
Mwisho DRC haiwezi angukia mikononi mwa vibaraka.Rais ni Felix
kulekule kwa huyu wa kwetu anapotumiwa 🤣Si ungesema tu Moise ni kibaraka wa fulani nini kinakuzuia?
Wasimamishe Chuma kama Luhaga Mpina, Dr. Medard Kalemani au Mimi mwenyewe.Pamoja na matatizo la tume huru lakini wagombea wa vyama vya upinzani nalo ni tatizo lingine.
Siku vyama vya upinzani wakipata akili ya kushawishi viongozi wenye majina toka CCM na wakawasimamisha kuwa wagombea urais ndiyo siku kitatokea kifo cha CCM. Kwa sababu hiyo itasababisha mgawanyiko ndani ya CCM hivyo kundi linalomuunga mkono toka CCM ukijumlisha na wanachama wa upinzani ni lazima CCM ife natural death.