John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
You are completely wrong.Pamoja na matatizo la tume huru lakini wagombea wa vyama vya upinzani nalo ni tatizo lingine.
Siku vyama vya upinzani wakipata akili ya kushawishi viongozi wenye majina toka CCM na wakawasimamisha kuwa wagombea urais ndiyo siku kitatokea kifo cha CCM. Kwa sababu hiyo itasababisha mgawanyiko ndani ya CCM hivyo kundi linalomuunga mkono toka CCM ukijumlisha na wanachama wa upinzani ni lazima CCM ife natural death.
CCM "kushnda uchaguzi wa kisiasa" au kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule katika nchi hii ya Tanzania.