Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

Pamoja na matatizo la tume huru lakini wagombea wa vyama vya upinzani nalo ni tatizo lingine.

Siku vyama vya upinzani wakipata akili ya kushawishi viongozi wenye majina toka CCM na wakawasimamisha kuwa wagombea urais ndiyo siku kitatokea kifo cha CCM. Kwa sababu hiyo itasababisha mgawanyiko ndani ya CCM hivyo kundi linalomuunga mkono toka CCM ukijumlisha na wanachama wa upinzani ni lazima CCM ife natural death.
You are completely wrong.
CCM "kushnda uchaguzi wa kisiasa" au kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule katika nchi hii ya Tanzania.
 
Taarifa za awali zisizo rasmi za uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa DRC uliyofanyika hivi karibuni unaonysha tajiri Moise Katumbi anaongoza kwa 63.3% ya kura dhidi ya rais anayemaliza muda wake Felix Tshisekedi mwenye 21% ya kura

Chanzo cha habari hiyo ni shirika la habari la rtnc.
Ni taarifa za vituo vichache. Sio mategemeo kushinda katumbi ila ikitokea sio ajabu. Itakua ni chuki ya raia wengine wa congo mashariki na kusini wanaozungumza kiswahili kupuuzwa ndani ya congo. Wanaweza kuunganika kumuangusha tshisekedi licha jitihada yake ya kufanya alichoweza awamu yake ya kwanza.
 
Tanzania sijui ni lini tutakuwa na tume huru ya uchaguzi.
Kwa sasa tatizo siyo Tume Huru ya Uchaguzi, Bali tatizo ni Katiba Mbaya iliyopo hivi sasa hapa Tanzania. Wananchi wa Tanzania kwa wingi wetu tunatakiwa tutumie nguvu zetu ili tubadili Katiba hii na tuiweke ya kwetu sisi wenyewe, hapa ndipo utakuwa mwanzo wa mabadiliko mema tuyatakayo.
 
Africa uchaguzi wa kweli huwa unafanyika nchi ya Ghana tu.huku kwingine ni mwendo wa isidingo
 
Bila utashi wa uzalendo Afrika haiwezi kuendelea kiuchumi,Kisayansi,Kijamii kupitia kinachoitwa demokrasia ya vyama vingi..

Demokrasia hii amboyo msingi wake ni Masharti ya Benki ya Dunia/IMF..Lengo lake si kuchochea maendeleo Bali mgawanyiko kurahisisha uchotaji wa rasilimali..mapokeo ya sera,itifaki na mitaala yenye kudumaza fikra Za ubunifu,kujiamini,na kujitawala kifikra na kiutamaduni..

Tunahitaji rutuba kutoka ktk minyororo ya ukoloni mamboleo..
inafaa kuanzia wap kwa mfano
 
Back
Top Bottom