Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

Taarifa za awali zisizo rasmi za uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa DRC uliyofanyika hivi karibuni unaonysha tajiri Moise Katumbi anaongoza kwa 63.3% ya kura dhidi ya rais anayemaliza muda wake Felix Tshisekedi mwenye 21% ya kura

Chanzo cha habari hiyo ni shirika la habari la rtnc.
Soon watageuza matokeo
 
Hata Martin Fayulu alishinda ila Felix ndio alitangazwa.

Kwa Afrika mahindi ni anaetangazwa.

Mwisho DRC haiwezi angukia mikononi mwa vibaraka.Rais ni Felix
 
Mbona walifanya hivyo kwa Edward Lowasa tena Lowasa alikuwa na nguvu nyingi sana wakati ule

Miye nafikiri kwanza tatizo ni katiba, tume huru na elimu ya urai kwa wananchi wetu uelewa wa wengi bado mdogo sana Kwenye mambo haya ya uchaguzi na demokrasia ya kweli
Pamoja na tatizo lake la kiafya uliona alivyoitikisa ccm? Angekuwa na afya njema wizi wa kura ungeshindikana
 
Pamoja na matatizo la tume huru lakini wagombea wa vyama vya upinzani nalo ni tatizo lingine.

Siku vyama vya upinzani wakipata akili ya kushawishi viongozi wenye majina toka CCM na wakawasimamisha kuwa wagombea urais ndiyo siku kitatokea kifo cha CCM. Kwa sababu hiyo itasababisha mgawanyiko ndani ya CCM hivyo kundi linalomuunga mkono toka CCM ukijumlisha na wanachama wa upinzani ni lazima CCM ife natural death.
yaani mbowe amshawishi Makonda ahamie Chadema sio 🤣
 
IMG-20231223-WA0001.jpg
 
Hata Martin Fayulu alishinda ila Felix ndio alitangazwa.

Kwa Afrika mahindi ni anaetangazwa.

Mwisho DRC haiwezi angukia mikononi mwa vibaraka.Rais ni Felix
hakuna miongoni mwa wagombea zaidi ya 20 pale DRC anaweza mshinda Felix Tshisekedi....

Hawa majamaa yaliwahi kukurupuka uchaguzi wa kenya ivo hivi kwamba ooh raila hivi na vile, uchaguzi ulikua huru sana, tume ilifanya kazi nzuri,
Mwishowe sasa 🤣🤣
 
Bila utashi wa uzalendo Afrika haiwezi kuendelea kiuchumi,Kisayansi,Kijamii kupitia kinachoitwa demokrasia ya vyama vingi..

Demokrasia hii amboyo msingi wake ni Masharti ya Benki ya Dunia/IMF..Lengo lake si kuchochea maendeleo Bali mgawanyiko kurahisisha uchotaji wa rasilimali..mapokeo ya sera,itifaki na mitaala yenye kudumaza fikra Za ubunifu,kujiamini,na kujitawala kifikra na kiutamaduni..

Tunahitaji rutuba kutoka ktk minyororo ya ukoloni mamboleo..
 
Pamoja na matatizo la tume huru lakini wagombea wa vyama vya upinzani nalo ni tatizo lingine.

Siku vyama vya upinzani wakipata akili ya kushawishi viongozi wenye majina toka CCM na wakawasimamisha kuwa wagombea urais ndiyo siku kitatokea kifo cha CCM. Kwa sababu hiyo itasababisha mgawanyiko ndani ya CCM hivyo kundi linalomuunga mkono toka CCM ukijumlisha na wanachama wa upinzani ni lazima CCM ife natural death.
Wasimamishe Chuma kama Luhaga Mpina, Dr. Medard Kalemani au Mimi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom