Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

You are completely wrong.
CCM "kushnda uchaguzi wa kisiasa" au kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule katika nchi hii ya Tanzania.
 
Ni taarifa za vituo vichache. Sio mategemeo kushinda katumbi ila ikitokea sio ajabu. Itakua ni chuki ya raia wengine wa congo mashariki na kusini wanaozungumza kiswahili kupuuzwa ndani ya congo. Wanaweza kuunganika kumuangusha tshisekedi licha jitihada yake ya kufanya alichoweza awamu yake ya kwanza.
 
Tanzania sijui ni lini tutakuwa na tume huru ya uchaguzi.
Kwa sasa tatizo siyo Tume Huru ya Uchaguzi, Bali tatizo ni Katiba Mbaya iliyopo hivi sasa hapa Tanzania. Wananchi wa Tanzania kwa wingi wetu tunatakiwa tutumie nguvu zetu ili tubadili Katiba hii na tuiweke ya kwetu sisi wenyewe, hapa ndipo utakuwa mwanzo wa mabadiliko mema tuyatakayo.
 
Africa uchaguzi wa kweli huwa unafanyika nchi ya Ghana tu.huku kwingine ni mwendo wa isidingo
 
inafaa kuanzia wap kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…