Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

Hivi kwa akili zako ulizonazo, ni kweli unatarajia kupata kitu chochote kile kipya kutoka kwa Watawala wa Afrika?? Seriously?
All African rulers have no new!
 
Hivi kwa akili zako ulizonazo, ni kweli unatarajia kupata kitu chochote kile kipya kutoka kwa Watawala wa Afrika?? Seriously?
All African rulers have no new!
lakini sifa nyingi sana ziliporomoshwa humu jukwaani na wenzio, kwamba uchaguzi wa drc ni wa mfano barani africa kwa kua wa huru zaidi, haki na uwazi zaidi, licha ya changamoto ya miundombinu dhaifu drc....
 
Historia? Ipi hiyo? Hivi ni Nji kama Kenya kila kukicha vinajimwambafy kumbe hamna kitu. Kwani DRC wana uzoefu gani wa Katiba!
mbona wana miaka mingi tu ya chaguzi za kidemokrasia? ni wazoefu kama nchi nyingine tu ktk masuala ya kidemokrasia
 
lakini sifa nyingi sana ziliporomoshwa humu jukwaani na wenzio, kwamba uchaguzi wa drc ni wa mfano barani africa kwa kua wa huru zaidi, haki na uwazi zaidi, licha ya changamoto ya miundombinu dhaifu drc....
Tangu lini nchi ya Zaire/Congo DRC watu wamekuwa na uhuru, haki na uwazi??Tangu lini???
Mimi sijawahi kusikia wala kuona.
 
Fanya mchanganuo mwenyewe
 
Attachments

  • 1703488832279.jpg
    42.6 KB · Views: 1
  • 1703477829305.jpg
    54.1 KB · Views: 1
Tangu lini nchi ya Zaire/Congo DRC watu wamekuwa na uhuru, haki na uwazi??Tangu lini???
Mimi sijawahi kusikia wala kuona.
2006 wamefanya uchaguzi awamu 2 za JOSEPH kabila, 2019 wamefanya tena uchaguzi wakamchagua huyu anaewaburuza wenzie kwenye sanduku la kura hivi sasa, ambae pia anachaguliwa awamu ya pili..

kwani wew unaishi dunia gan
 
Kumbe wewe umeanza kuifuatilia Congo DRC tangu miaka ya hivi karibuni, basi sina hoja zaidi.

DRC ni linchi LIKUBWA saana!... Miundombinu hasa ya usafirishaji pia ni tatizo ....Jimbo hadi Jimbo... Itachukua muda sana haya matokeo kutangazwa.

Màeneo baadhi yanatawaliwa na vikosi binafsi vya kijeshi na si serikali

Kwa mfano kutoka Lubumbashi hadi Kinshasa hakuna usafiri wa bus! Ni either upande Choppa

Maeneo mengi ya Drc hayafikiki kirahisi...
 
Tarehe 31 anatangazwa Rais ..Tarehe 20 January anapishwa aliyechaguliwa ...
 
uko sawa kiongozi 👍
 
Mobutu aliiharibu sana DRC, kuna siku alihojiwa na Mwandishi kuhusu utawala wake wa Kiimla,akamcheki yule Mwandishi k8sha akmwambia "Wabantu hawajali mambo ya Demokrasia" nilicheka sana.😆
 
Hesabu ziendelee
 
Attachments

  • 1703617845323.jpg
    52.5 KB · Views: 2
  • 1703617818485.jpg
    48.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…