Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hadi sasa kilichobaki kwa wapinzani ni kulalamika na kuandamana tuTshekedi anakimbiza,hii ni habari mbaya kwetu sisi watutsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sasa kilichobaki kwa wapinzani ni kulalamika na kuandamana tuTshekedi anakimbiza,hii ni habari mbaya kwetu sisi watutsi
Hivi kwa akili zako ulizonazo, ni kweli unatarajia kupata kitu chochote kile kipya kutoka kwa Watawala wa Afrika?? Seriously?Hello familia ya JF.
Heri na Baraka za krismass.
Mwenye kufuatilia uchaguzi muhimu wa kidemokrasia kwa majirani zetu muhimu sana DRC, tafadhali atujaalie matokeo yanaendaje?
Na vip hali ya utulivu na amani ya bana ba Congo...
Tunawatakia subra, ustahimilivu na moyo wa kujizuia wakati matokeo ya mwisho yatakapo tangazwa.
shukran sana aiseeYa awali hayo
lakini sifa nyingi sana ziliporomoshwa humu jukwaani na wenzio, kwamba uchaguzi wa drc ni wa mfano barani africa kwa kua wa huru zaidi, haki na uwazi zaidi, licha ya changamoto ya miundombinu dhaifu drc....Hivi kwa akili zako ulizonazo, ni kweli unatarajia kupata kitu chochote kile kipya kutoka kwa Watawala wa Afrika?? Seriously?
All African rulers have no new!
mbona wana miaka mingi tu ya chaguzi za kidemokrasia? ni wazoefu kama nchi nyingine tu ktk masuala ya kidemokrasiaHistoria? Ipi hiyo? Hivi ni Nji kama Kenya kila kukicha vinajimwambafy kumbe hamna kitu. Kwani DRC wana uzoefu gani wa Katiba!
Tangu lini nchi ya Zaire/Congo DRC watu wamekuwa na uhuru, haki na uwazi??Tangu lini???lakini sifa nyingi sana ziliporomoshwa humu jukwaani na wenzio, kwamba uchaguzi wa drc ni wa mfano barani africa kwa kua wa huru zaidi, haki na uwazi zaidi, licha ya changamoto ya miundombinu dhaifu drc....
2006 wamefanya uchaguzi awamu 2 za JOSEPH kabila, 2019 wamefanya tena uchaguzi wakamchagua huyu anaewaburuza wenzie kwenye sanduku la kura hivi sasa, ambae pia anachaguliwa awamu ya pili..Tangu lini nchi ya Zaire/Congo DRC watu wamekuwa na uhuru, haki na uwazi??Tangu lini???
Mimi sijawahi kusikia wala kuona.
aiseeee 85% 😀Fanya mchanganuo mwenyewe
Kumbe wewe umeanza kuifuatilia Congo DRC tangu miaka ya hivi karibuni, basi sina hoja zaidi.2006 wamefanya uchaguzi awamu 2 za JOSEPH kabila, 2019 wamefanya tena uchaguzi wakamchagua huyu anaewaburuza wenzie kwenye sanduku la kura hivi sasa, ambae pia anachaguliwa awamu ya pili..
kwani wew unaishi dunia gan
Haya yameanza leo jioni hii,wakatangga wapoze moyo kdgMatokeo kutoka Lumumbashi Katanga yakiingia Katumbi ataongoza kwa mbali.
DRC ni linchi LIKUBWA saana!... Miundombinu hasa ya usafirishaji pia ni tatizo ....Jimbo hadi Jimbo... Itachukua muda sana haya matokeo kutangazwa.Hello familia ya JF.
Heri na Baraka za krismass.
Mwenye kufuatilia uchaguzi muhimu wa kidemokrasia kwa majirani zetu muhimu sana DRC, tafadhali atujaalie matokeo yanaendaje?
Na vip hali ya utulivu na amani ya bana ba Congo...
Tunawatakia subra, ustahimilivu na moyo wa kujizuia wakati matokeo ya mwisho yatakapo tangazwa.
Tarehe 31 anatangazwa Rais ..Tarehe 20 January anapishwa aliyechaguliwa ...DRC ni linchi LIKUBWA saana!... Miundombinu hasa ya usafirishaji pia ni tatizo ....Jimbo hadi Jimbo... Itachukua muda sana haya matokeo kutangazwa.
Màeneo baadhi yanatawaliwa na vikosi binafsi vya kijeshi na si serikali
Kwa mfano kutoka Lubumbashi hadi Kinshasa hakuna usafiri wa bus! Ni either upande Choppa
Maeneo mengi ya Drc hayafikiki kirahisi...
uko sawa kiongozi 👍DRC ni linchi LIKUBWA saana!... Miundombinu hasa ya usafirishaji pia ni tatizo ....Jimbo hadi Jimbo... Itachukua muda sana haya matokeo kutangazwa.
Màeneo baadhi yanatawaliwa na vikosi binafsi vya kijeshi na si serikali
Kwa mfano kutoka Lubumbashi hadi Kinshasa hakuna usafiri wa bus! Ni either upande Choppa
Maeneo mengi ya Drc hayafikiki kirahisi...
sawa mtanganyika wa kuziraKumbe wewe umeanza kuifuatilia Congo DRC tangu miaka ya hivi karibuni, basi sina hoja zaidi.