joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Se connecter à Facebook | FacebookKwenye mauwaji Tz hatuwezi kuwanyooshea kidole wakenya, labda kwenye ukabila.
Kwenye mauwaji Tz hatuwezi kuwanyooshea kidole wakenya, labda kwenye ukabila.
Huijui Kenya hata robo, hata wakenya wenyewe wanakushangaa humu ndani, Kenya inaongoza Africa kwa extra judicial killings kutoka na report ya trasparency international 2017, Kenya insecurity inapambana na South Africa tu, na ikijitahidi mwakanni wataipita South Afrika, kwa demokrasia ya uhuru wa kujieleza na vyombo vya habari, tumewapita nafasi 11 tupo juu yao, tena tumeporomoka kipindi hiki cha Magufuli, kabla ya hapo tulikuwa tumewapita nafasi 18, huijui Kenya unaisikia tu.Katika mambo ya hovyo, kenya wametuzidi kwenye ukabila tu, mengine tunafanana na hata kuwazidi.
http://www.nation.co.ke/news/Kenya-top-Africa-police-shootings/1056-3824890-1183k27/index.htmlKatika mambo ya hovyo, kenya wametuzidi kwenye ukabila tu, mengine tunafanana na hata kuwazidi.
Wewe kaa huko huko kwenu Somalia.Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana.
Ne ma morio, kuumera ne kuumera, tureohamwe jamba ya kajiado!Hahaa gutire na oru morio guku noo kuumera kuumera ta thuraku.
Sijui wangekuwa Tz wangesemaje!Hv Wakenya Wanataka Nini Jaman Tume Ipo Huru , Mahakama Ipo Huru , Ma Rc Na Ma Dc Wanachaguliwa Kwa Kura , Cjui Wanahitaji Nini Zaidi
2017 World Press Freedom Index | Reporters Without BordersKatika mambo ya hovyo, kenya wametuzidi kwenye ukabila tu, mengine tunafanana na hata kuwazidi.
....mkono wakachukua ili wahack !Na wakamkata kata viungo
Jeshi lipi mkuu? Maana kdf lenyewe limegawanyika kwa misingi ya ukabila na udini,Ikishindikana jeshi ichukue country na kuitisha uchaguzi wa kijeshi, hapo watatulia tu.