Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Kenya bans opposition protests as election crisis deepens

Hii iliyopiga marufuku maandamano ya wananchi ni nchi gani?, kama unasema yaliyofanywa Kenya walifanywa na wahalifu sio vyombo vya dola, kwanini Lisu, Roma na Ben Sanane hukubali kwamba waliotenda walikua wahalifu sio vyombo vya dola

Kuhusu hizo tallying centre uliyoyasema wewe ni mapendekezo yako, haina maana kwamba mapendekezo yako ni correct, ninachokiona hapa ni kwamba hujui lolote kuhusiana na nchi ya Kenya, hujishangai kwamba vyombo vyote vya kimataifa vimeiona Kenya ni nchi isiyo na uhuru wa press wewe unapingana na dunia nzima eti kwa sababu kichwa chake kinafikiria tofauti, mtu gani wewe unayepingana na watu waliokusanya data za kisayansi zinazokubalika dunia nzima?, akili yako ni hovyo kabisa wewe.
 
Acha upotoshaji ile ni estimation tu lakini turnout ni chini ya 40% ssa hyo 48% umeitoa wapi ????
Nimepotosha kipi mie?nadhan hukumsikia Chebukati kwenye press briefing yake jana usiku japo alitoa taarifa nyingine tena baadae.
 
Are Kenyans ready to move on? Kenya's silent majority has spoken - emphatic NO. Business as usual hapana.
 
Raila odinga anafanya nini lakini
Babu RAO anazeeka vibaya! Siasa imemshinda anataka kuwaachia wakenya majanga! Alijua hawezi kushinda hivyo kuepusha aibu akaamua kujitoa, shame on him! Wakenya kataeni kuandamana, mwacheni RAO aandamane peke yake kama yeye anaona ni vizuri! Anawatuma kuandamana wakati yeye na watoto wake wakila kuku kwa mrija majumbani mwao huku akijua kabisa baadhi yenu mtauawa!
 
Updates please
 
What can you say about Mwai Kibaki? He won against Kenyatta+ Moi!

You should know better.
You should also know the favour he did to them. And this is where you gys are heading to, after Uhuru it will be the Moi to take over!
 
Nimepotosha kipi mie?nadhan hukumsikia Chebukati kwenye press briefing yake jana usiku japo alitoa taarifa nyingine tena baadae.
Ndio alisema ni estimation sio final verified figure anyway all in all kenyatta amechaguliwa na wapiga kura nusu ya wote waliojiandikisha Hivyo we can conclude wakenya HAWAKUTAKA uchaguzi wa marudio
 
Maneno haya yakisema na Magufuli anaonekana anaminya uhuru wa watu kufanya maandamano.
 
RAO Kapigwa sana mabomu kipindi wanammg'oa Isaac hassan

Kapigwa kipindi anapambana na Moi hadi alikuwa castrated

Kapigwa kipindi anapigania Katiba mpya

Hivi torture gani ambayo RAO hajaipata mbele ya mikono ya watawala???

RAO uchaguzi ukiwa huru na haki anashinda huezi understimate a person who had 7 million votes more so rigged!! Kwa ufupi wakikuyu mmemtesa sana huyu mjaluo ila yanamwisho haya na huyo mkalenjin kibaraka wenu hatokaa aingie ikulu 2022 utakuja niambia hapa

Damu ya ouku na tom mboya itawaandama daima nyie watawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…