Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Hatimaye kura zilizopigwa ni 9.7 milion huku Kenyata akupato 8. 97 mil
 
meanwhile in Kandara...there was some drama...courtesy Nation Media Group
 
Vurugu zinazoendelea katika mji wa Kisumu kati ya Waandamanaji ambao ni wafuasi wa NASA na Mapolisi

Raila alikuwa na madai ya msingi sana,

Wale waliovuruga uchaguzi hawawezi kuruhusiwa tena kusimamia huu ni ujuha

Nawashangaa sana ndugu zangu wanaomkejeli Raila na kumuita kenyatta ni baba wa demokrasia WTF
Kenyatta ana kosa gani hapa sasa???? au unadhan katiba ina mruhusu kenyatta kuivunja iebc? au kuipangia kwamba iahirishe uchaguzi???........

madai ya Raila yana msingi ndio, lakn kenyatta hana kosa na iebc nao hawana kosa maana waliambiwa waandae uchaguzi within 60 days.....ulitaka wafanyaje?
 
Sasa wapi mimi nimemtaja kenyatta hapo?

Hao iebc ilitakiwa wawajibike na hasamanagement ya juu

Wao ndo chanzo cha kuvurugika uchaguzi halafu hao hao pia wasimamie huoni kama ni ujinga huo

Haya ndo yalitokea zanzibar jecha alivuruga uchaguzi halafu baadae huyo huyo ndo akasimamia tena uchaguzi

Ahsante kaka, hiyo tume bandia tumechoshwa nayo. Nashangaa jinsi baadhi ya wenzenu wamepigwa chenga na hilo. Ni sawa na kumteua fisi awe mchungaji wa kondoo/mbuzi wako. Feki kabisa wamekataliwa kila kona la nchi. Kwa maoni ya wengi hapa mashinani nilipo Mombasa, tunaelekea kurudi enzi za udikteta na uongozi wa kifalme baada ya masiku tu. Mtuombee wabongo tumefika pabaya
 
Poleni ndugu zeru haya yatapita na mtakuwa salamu,

Muda unakuja hawa wapumbavu watajibu makosa yao yote
 
Aisee binafsi nitajaribu kuwapa ma updates wakuu ila sijui Kama nitapiga hizo kura mazee maana nimekesha nasoma katiba na huyu mbebez[emoji3] [emoji382] [emoji191] [emoji125] View attachment 617314
pole kusoma katiba tangulizeni kenya kwanza ,kwani ni uchaguzi wa kwanza kwa katiba mpya ukiwa na taratibu mpya na kanuni msijali mjifunze kwa vitendo kwani wengi tunachungulia huko kwenu kujifunza mko more advanced
 
Figures za uongo hizi, mwenyekiti alishasema hautakuwa huru na fair, you saw the boycot, they give this figures and you believe. You must be a fan
For your information citizen tv have their own tallying centre and have sent people to all the constituencies for verification... Their figures are at slightly over 7.4m with a handful of constituencies to go.......yours is a propaganda spread over to fit a certain political narrative
 
CONFIRMED BEFORE FORGERY :
KIEMS KIT votes cast = 3,502,139
Votes cast by complimentary mechanism = 363,102
TOTAL VOTES CAST = 3,865,241 = 20% (approx)
Source : tweet by @WachiraDennis1
Huyu mjamaa ni political scientist na nina hakika alifanya due diligence before kuweka hiyo tweet.

Political narrative ndio aina gani ya mrenda hiyo uniletee niko na ugali kakubwa hapa Mombasani, hawajui utamu wa hiyo mrenda.

Hizo data mnatujazia kwenye screen zetu ni aibu mpaka hata mmezima transmission ya results mpaka iive vizuri ndio muandae , lakini wapi ! Pikeni vizuri, bon appetit!
 
The election was wahomed, their was Chabukatinization happen to the system.
 
Back
Top Bottom