jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Hatimaye kura zilizopigwa ni 9.7 milion huku Kenyata akupato 8. 97 mil
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Figures za uongo hizi, mwenyekiti alishasema hautakuwa huru na fair, you saw the boycot, they give this figures and you believe. You must be a fanuhuru ana 7.363 764
Kwasababu anashindahajawahi kukubali kushindwa
Kwasababu anashinda
Kinachoenda kufanyika Kenya ni kama Zanz kwa kwa sasa
Kenyatta ana kosa gani hapa sasa???? au unadhan katiba ina mruhusu kenyatta kuivunja iebc? au kuipangia kwamba iahirishe uchaguzi???........Raila alikuwa na madai ya msingi sana,
Wale waliovuruga uchaguzi hawawezi kuruhusiwa tena kusimamia huu ni ujuha
Nawashangaa sana ndugu zangu wanaomkejeli Raila na kumuita kenyatta ni baba wa demokrasia WTF
cut the crap its not a voter turnout of 0.15 where you are getting that figure has it wrongHuwezi kujiita Rais wa kenya kwa kupigiwa kura na asilimia 15% ya wapiga kula wote waliojiandikisha.
Uchaguzi haujafanyka bado
Kenyatta ana kosa gani hapa sasa???? au unadhan katiba ina mruhusu kenyatta kuivunja iebc? au kuipangia kwamba iahirishe uchaguzi???........
madai ya Raila yana msingi ndio, lakn kenyatta hana kosa na iebc nao hawana kosa maana waliambiwa waandae uchaguzi within 60 days.....ulitaka wafanyaje?
Ahsante kaka, hiyo tume bandia tumechoshwa nayo. Nashangaa jinsi baadhi ya wenzenu wamepigwa chenga na hilo. Ni sawa na kumteua fisi awe mchungaji wa kondoo/mbuzi wako. Feki kabisa wamekataliwa kila kona la nchi. Kwa maoni ya wengi hapa mashinani nilipo Mombasa, tunaelekea kurudi enzi za udikteta na uongozi wa kifalme baada ya masiku tu. Mtuombee wabongo tumefika pabayaSasa wapi mimi nimemtaja kenyatta hapo?
Hao iebc ilitakiwa wawajibike na hasamanagement ya juu
Wao ndo chanzo cha kuvurugika uchaguzi halafu hao hao pia wasimamie huoni kama ni ujinga huo
Haya ndo yalitokea zanzibar jecha alivuruga uchaguzi halafu baadae huyo huyo ndo akasimamia tena uchaguzi
Poleni ndugu zeru haya yatapita na mtakuwa salamu,Ahsante kaka, hiyo tume bandia tumechoshwa nayo. Nashangaa jinsi baadhi ya wenzenu wamepigwa chenga na hilo. Ni sawa na kumteua fisi awe mchungaji wa kondoo/mbuzi wako. Feki kabisa wamekataliwa kila kona la nchi. Kwa maoni ya wengi hapa mashinani nilipo Mombasa, tunaelekea kurudi enzi za udikteta na uongozi wa kifalme baada ya masiku tu. Mtuombee wabongo tumefika pabaya
pole kusoma katiba tangulizeni kenya kwanza ,kwani ni uchaguzi wa kwanza kwa katiba mpya ukiwa na taratibu mpya na kanuni msijali mjifunze kwa vitendo kwani wengi tunachungulia huko kwenu kujifunza mko more advancedAisee binafsi nitajaribu kuwapa ma updates wakuu ila sijui Kama nitapiga hizo kura mazee maana nimekesha nasoma katiba na huyu mbebez[emoji3] [emoji382] [emoji191] [emoji125] View attachment 617314
For your information citizen tv have their own tallying centre and have sent people to all the constituencies for verification... Their figures are at slightly over 7.4m with a handful of constituencies to go.......yours is a propaganda spread over to fit a certain political narrativeFigures za uongo hizi, mwenyekiti alishasema hautakuwa huru na fair, you saw the boycot, they give this figures and you believe. You must be a fan
CONFIRMED BEFORE FORGERY :For your information citizen tv have their own tallying centre and have sent people to all the constituencies for verification... Their figures are at slightly over 7.4m with a handful of constituencies to go.......yours is a propaganda spread over to fit a certain political narrative