Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Usilete hasira zako hapa. Hapa tunataka wanaojua kucheka hadi watoe machozi bila sababu yeyote ile.
umeelewa nilichokiandika lakini??
shake.gif
shake.gif
shake.gif
shake.gif
 
Tulimsupport sababu ya uhuru wa vyama na demokrasia ila kiukweli haya marudio amefanya kitu cha ajabu sana ingawa ccm au chadema vitampongeza akishinda maana ni lazima waheshimu sovereignty ya wakenya ila uhuru ameaibisha waafrika
Kwa hiyo siyo tena baba wa demokrasia Kama mlivyodai mwanzoni. Na hii inathibitisha kuwa vyama vyote vya siasa Na wanasiasa Ni wale wale, wawe CCM, chadema au CUF.
 
umeelewa nilichokiandika lakini??
shake.gif
shake.gif
shake.gif
shake.gif
😀😀😀😀
Ndio, wewe unasema hata hujatabasamu wakati mimi hapa nakufa na kicheko! 😀😀😀 Hizo nilisikia zinaitwa sitilesi. Huu ni uzi wa kucheka bana hahahahaha🙁
 
Raila alikuwa na madai ya msingi sana,

Wale waliovuruga uchaguzi hawawezi kuruhusiwa tena kusimamia huu ni ujuha

Nawashangaa sana ndugu zangu wanaomkejeli Raila na kumuita kenyatta ni baba wa demokrasia WTF

hajawahi kukubali kushindwa
 
Du!, pole zako ,neno hilo lipo sahihi,jifunze kuufunga kibakuli chako hicho mara nyingine husije ukaonekana mjinga.
Tumia GOOGLE ama dikshenari, ewe zumbekuku la Kigoma.
Msamehe, usibishane na kichaa, utachizi bure
 
Acha upotoshaji ile ni estimation tu lakini turnout ni chini ya 40% ssa hyo 48% umeitoa wapi ????
Mi nadhani hata kama turnout ni 35% yaani 6 -7 M-ish voters, bado Uhuru alishinda last election kwani naamini wengi wa suppoters wake, ambao sio die hard, watakuwa wameogopa pia kupiga kura.
 
Mi nadhani hata kama turnout ni 35% yaani 6 -7 M-ish voters, bado Uhuru alishinda last election kwani naamini wengi wa suppoters wake, ambao sio die hard, watakuwa wameogopa pia kupiga kura.
Tayari Uhuru Kenyatta ana kura 7,283,112 toka vituo 35,384 kati ya 36,949 vilivyopiga kura jana.

Ukizingatia kuwa uchaguzi wa mwezi August, Uhuru alipata kura 8,200,000 na vurugu zilizokuwepo kwenye uchaguzi huu wa sasa plus kukosa mori kwa wafuasi wa Uhuru pia kujitokeza kwa sababu mpinzani aliishajitoa, then moja kwa moja hapa inaonyesha wazi kuwa Uhuru alishinda uchaguzi ule.
 
Rafiki ulishawahi kujiibia mwenyewe!!
 
Acha wakamuulize Raila kama hizo hesabu ziko sawa usikie watavokuja na povu na pumba zao za kawa. Yaani hata kunya tu yeye ndo huwa anawaambia watafanya saa ngapi. Nilimpigia Uhuru Kenyatta kura yangu na nasema hivo hadharani! Very proud. Wataisoma namba hawa ma zero brain wa NRM.
 
Kwa hiyo siyo tena baba wa demokrasia Kama mlivyodai mwanzoni. Na hii inathibitisha kuwa vyama vyote vya siasa Na wanasiasa Ni wale wale, wawe CCM, chadema au CUF.
Kwenye uhuru wa vyama anajitahidi Coz mpka ssa sijaona Raila akiitwa mchochezi au musyoka kuwekwa selo !! hapo Sna shida nae ila lawama zinaenda kwa IEBC maana ndio wamesababisha yote haya ila kwa kenyatta namlaumu sio kwa sababu kakiuka misingi ya demokrasia (maana naamini kma Tume ingekuwa huru na kujirekebisha kma mahakama sioni wapi uhuru angekataa matokeo)

Hivyo mmi namlaumu pia uhuruvkwa jinsi alivyohandle suala hili ...... alipaswa akae meza moja na odinga na waone namna ya kuvuka uchaguzi huu nchi ikiwa moja ssa yye badala ya kuunganisha nchi amezidi kuigawa

namheshimu uhuru ila kwa hili AMEAIBISHA waafrika
 
Back
Top Bottom