Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! Mkenya na English hiyoooo
Nakuona muimba kwaya wa Lumumba
umeelewa nilichokiandika lakini??Usilete hasira zako hapa. Hapa tunataka wanaojua kucheka hadi watoe machozi bila sababu yeyote ile.
Kwa hiyo siyo tena baba wa demokrasia Kama mlivyodai mwanzoni. Na hii inathibitisha kuwa vyama vyote vya siasa Na wanasiasa Ni wale wale, wawe CCM, chadema au CUF.Tulimsupport sababu ya uhuru wa vyama na demokrasia ila kiukweli haya marudio amefanya kitu cha ajabu sana ingawa ccm au chadema vitampongeza akishinda maana ni lazima waheshimu sovereignty ya wakenya ila uhuru ameaibisha waafrika
Ndio, wewe unasema hata hujatabasamu wakati mimi hapa nakufa na kicheko! 😀😀😀 Hizo nilisikia zinaitwa sitilesi. Huu ni uzi wa kucheka bana hahahahaha🙁umeelewa nilichokiandika lakini??![]()
![]()
😀😀😀😀![]()
Raila alikuwa na madai ya msingi sana,
Wale waliovuruga uchaguzi hawawezi kuruhusiwa tena kusimamia huu ni ujuha
Nawashangaa sana ndugu zangu wanaomkejeli Raila na kumuita kenyatta ni baba wa demokrasia WTF
your wordsNdio, wewe unasema hata hujatabasamu wakati mimi hapa nakufa na kicheko! 😀😀😀 Hizo nilisikia zinaitwa sitilesi. Huu ni uzi wa kucheka bana hahahahaha🙁
Bange hii, sasa hapo kuna nini cha kuchekesha?
Msamehe, usibishane na kichaa, utachizi bureDu!, pole zako ,neno hilo lipo sahihi,jifunze kuufunga kibakuli chako hicho mara nyingine husije ukaonekana mjinga.
Tumia GOOGLE ama dikshenari, ewe zumbekuku la Kigoma.
Sawasawa.your words
Mi nadhani hata kama turnout ni 35% yaani 6 -7 M-ish voters, bado Uhuru alishinda last election kwani naamini wengi wa suppoters wake, ambao sio die hard, watakuwa wameogopa pia kupiga kura.Acha upotoshaji ile ni estimation tu lakini turnout ni chini ya 40% ssa hyo 48% umeitoa wapi ????
6M+ bado si mbaya kwa Uhuru. na vurugu zote wote hao ku vote it's not a small feat! Sina ninayemtaka au nisiyemtaka, Ila nobody should die kwa ajili ya ambitions za watu. Mungu awasaidie wakenya wamalize hili. Wajenge nchi yao, maisha yaendelee.IEBC has revised voter turnout to 33%.
Tayari Uhuru Kenyatta ana kura 7,283,112 toka vituo 35,384 kati ya 36,949 vilivyopiga kura jana.Mi nadhani hata kama turnout ni 35% yaani 6 -7 M-ish voters, bado Uhuru alishinda last election kwani naamini wengi wa suppoters wake, ambao sio die hard, watakuwa wameogopa pia kupiga kura.
Rafiki ulishawahi kujiibia mwenyewe!!Tayari Uhuru Kenyatta ana kura 7,283,112 toka vituo 35,384 kati ya 36,949 vilivyopiga kura jana.
Ukizingatia kuwa uchaguzi wa mwezi August, Uhuru alipata kura 8,200,000 na vurugu zilizokuwepo kwenye uchaguzi huu wa sasa plus kukosa mori kwa wafuasi wa Uhuru pia kujitokeza kwa sababu mpinzani aliishajitoa, then moja kwa moja hapa inaonyesha wazi kuwa Uhuru alishinda uchaguzi ule.
Kwenye uhuru wa vyama anajitahidi Coz mpka ssa sijaona Raila akiitwa mchochezi au musyoka kuwekwa selo !! hapo Sna shida nae ila lawama zinaenda kwa IEBC maana ndio wamesababisha yote haya ila kwa kenyatta namlaumu sio kwa sababu kakiuka misingi ya demokrasia (maana naamini kma Tume ingekuwa huru na kujirekebisha kma mahakama sioni wapi uhuru angekataa matokeo)Kwa hiyo siyo tena baba wa demokrasia Kama mlivyodai mwanzoni. Na hii inathibitisha kuwa vyama vyote vya siasa Na wanasiasa Ni wale wale, wawe CCM, chadema au CUF.