zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sasa sheria si inaruhusu kma magufuli hapendi si afute hiyo haki kwa vyama vya siasa!! Na kma waandamanaji hawana silaha hawafanyi vurugu what's so hard kuruhusu?? Mbona ya kumpongeza magufuli hawakuzuia????Maneno haya yakisema na Magufuli anaonekana anaminya uhuru wa watu kufanya maandamano.
Katika hili nonakubaliana na wewe 110%, kwamba lile tunalolimpinga Magufuli asilifanye, haiwezikane tuliunge mkono likifanywa kwa majirani zetu, Magufuli anafanya makosa sana kuzuia jambo lililoruhusiwa ndani ya katiba, ni lazima tumpinge kwa nguvu zote hata kama anatoa sababu nzuri kwa kiasi gani, makosa yale yale yakifanywa na majirani zetu, baadhi yetu wanajaribu kupaka maneno mazuri na kuyapulizia perfume ili yanukie manukato na yaonekane sio uminyaji wa demokrasia.Sasa sheria si inaruhusu kma magufuli hapendi si afute hiyo haki kwa vyama vya siasa!! Na kma waandamanaji hawana silaha hawafanyi vurugu what's so hard kuruhusu?? Mbona ya kumpongeza magufuli hawakuzuia????
Magufuli naye walewale tu
Umekwenda off point....sio lengo la uzi hilo!Huwa nashangaa MACCM mnavyo onekana kujali sana kuhusu demokrasia ya Kenya na kujifanya watetezi ilhali huko kwenu madudu, mumekandamiza upinzani. Huku tunamuuguza jamaa wenu mliyempiga risasi 38 kisa anahoji, mara taarifa za miili 15 kwenu inapatika kwenye viroba inaelea kwenye fukwe, Maiti 15 Zaopolewa Zikiwa Kwenye Viroba - Global Publishers
Yaani matukio mengi ya kiajabu na mauaji ya kimya kimya lakini unatumia nguvu nyingi kukesha huku ukihangaika kuongea kuhusu matukio ya Kenya na kujifanya mwanademokrasia. Kwenu hata kiongozi wa upinzani kuhutubia watu watano tu kosa la jinai, Raila angekua hapo kwenu mngekua mshamnyofoa mapum.bu
and...The Matenjagwo's umesahau kuongeza hiyo familia kwenye orodha. Ukoo wetu huo, tuna pesa kuruka!Kenya is a Land property of two families
The Kenyatta's
The Moi's
Sasa hivi si makande man tena labda Caviar and Champagne man. Pesa tamuuu!Hivi yule mla makande yuko wapi kipindi hiki
Ha ha ha hii lugha ya malkia ilikuja na meli, tuvumiliane tu
Kwa Mfano Ni Kipi Hawakitaki Na Kipi Wanataka KiweWanataka mabadiliko ya KATIBA!
Uchaguzi uwe huru na haki hilo tu basi maana katiba yao haina shida kubwa kihivyoKwa Mfano Ni Kipi Hawakitaki Na Kipi Wanataka Kiwe
Mbona Upo Huru Au Macho Yangu Me Naona Jnc Mahakama Inavocmamia Haki Si Kama Tz Huku Tz Ingekua Vile Ingekua Poa Sana We Chek Ma Rc Na Ma Dc Wa Kuteuliwa Mixe Kutetea Ilani Ya Chama Na Sio Wananch Na HakiUchaguzi uwe huru na haki hilo tu basi maana katiba yao haina shida kubwa kihivyo
Tulia uandike kingine labda kinaweza kuchekesha.Pia sio laila odinga ni Raila Odinga.Pia mwalimu wako wa hukoooo angekufundisha matumizi ya capital letters ingekua inachekesha zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Baadhi ya wafuasi wa laila odinga kenya wamesikitishw na jinsi baba yao huyo aliyekua akiwa nia uraisi nchini humo kwa kukataa kushiriki uchaguzi uliofanyika leo hii nchini kenya ambapo wakenya wenye idadi ndogo walijitokeza kupiga kura leo laila odinga anadai hanaimani na tume ya taifa ya uchaguzi ya kenya hivyo ifumuliwe na akadai wao wanasubiri uchaguzi ulioandaliwa ndani ya siku 90 hivi ni vichekesho. nimemnukuu mkenya mmoja akisema Afadhari aje kucheza biko tanzania kuliko kumchagua laila kwani ni muuaji ina kuwaje wakenya wanakufa kila siku kwa ajiri yake na watu wanampenda na mahakama ilitoa amri uchaguzi urudiwe lakini bado amekataa. Hiki kitu kimewaudhi wakenye wengi sana......maytake naungana na jaji lubuva alivyosema hakuna chakujifunza kutoka tume ya uchaguzi ya kenya. Ushauri wangu wakenya igeni kutoka tanzania namna ya kufanya uchaguzi wenye amani iliyotukuka japo maneno ya hapa na pale hayakosekani duniani kote lakini watanzania ni waungwana sana.
Hahaha sham election?SHAM ELECTIONS!!!
Usilete hasira zako hapa. Hapa tunataka wanaojua kucheka hadi watoe machozi bila sababu yeyote ile.nimekimbia hapa haraka ili nami nicheke pia ila nimemaliza habari hata tabasamu tu nimeshindwa...Duh!!
Du! Mkenya na English hiyooooSHAM ELECTIONS!!!
Nakuona muimba kwaya wa LumumbaDu! Mkenya na English hiyoooo