Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Maneno haya yakisema na Magufuli anaonekana anaminya uhuru wa watu kufanya maandamano.
Sasa sheria si inaruhusu kma magufuli hapendi si afute hiyo haki kwa vyama vya siasa!! Na kma waandamanaji hawana silaha hawafanyi vurugu what's so hard kuruhusu?? Mbona ya kumpongeza magufuli hawakuzuia????

Magufuli naye walewale tu
 
Katika hili nonakubaliana na wewe 110%, kwamba lile tunalolimpinga Magufuli asilifanye, haiwezikane tuliunge mkono likifanywa kwa majirani zetu, Magufuli anafanya makosa sana kuzuia jambo lililoruhusiwa ndani ya katiba, ni lazima tumpinge kwa nguvu zote hata kama anatoa sababu nzuri kwa kiasi gani, makosa yale yale yakifanywa na majirani zetu, baadhi yetu wanajaribu kupaka maneno mazuri na kuyapulizia perfume ili yanukie manukato na yaonekane sio uminyaji wa demokrasia.
 
Huwa nashangaa MACCM mnavyo onekana kujali sana kuhusu demokrasia ya Kenya na kujifanya watetezi ilhali huko kwenu madudu, mumekandamiza upinzani. Huku tunamuuguza jamaa wenu mliyempiga risasi 38 kisa anahoji, mara taarifa za miili 15 kwenu inapatika kwenye viroba inaelea kwenye fukwe, Maiti 15 Zaopolewa Zikiwa Kwenye Viroba - Global Publishers
Yaani matukio mengi ya kiajabu na mauaji ya kimya kimya lakini unatumia nguvu nyingi kukesha huku ukihangaika kuongea kuhusu matukio ya Kenya na kujifanya mwanademokrasia. Kwenu hata kiongozi wa upinzani kuhutubia watu watano tu kosa la jinai, Raila angekua hapo kwenu mngekua mshamnyofoa mapum.bu
Umekwenda off point....sio lengo la uzi hilo!
 
Baadhi ya wafuasi wa laila odinga kenya wamesikitishw na jinsi baba yao huyo aliyekua akiwa nia uraisi nchini humo kwa kukataa kushiriki uchaguzi uliofanyika leo hii nchini kenya ambapo wakenya wenye idadi ndogo walijitokeza kupiga kura leo laila odinga anadai hanaimani na tume ya taifa ya uchaguzi ya kenya hivyo ifumuliwe na akadai wao wanasubiri uchaguzi ulioandaliwa ndani ya siku 90 hivi ni vichekesho. nimemnukuu mkenya mmoja akisema Afadhari aje kucheza biko tanzania kuliko kumchagua laila kwani ni muuaji ina kuwaje wakenya wanakufa kila siku kwa ajiri yake na watu wanampenda na mahakama ilitoa amri uchaguzi urudiwe lakini bado amekataa. Hiki kitu kimewaudhi wakenye wengi sana......maytake naungana na jaji lubuva alivyosema hakuna chakujifunza kutoka tume ya uchaguzi ya kenya. Ushauri wangu wakenya igeni kutoka tanzania namna ya kufanya uchaguzi wenye amani iliyotukuka japo maneno ya hapa na pale hayakosekani duniani kote lakini watanzania ni waungwana sana.
 
Uchaguzi uwe huru na haki hilo tu basi maana katiba yao haina shida kubwa kihivyo
Mbona Upo Huru Au Macho Yangu Me Naona Jnc Mahakama Inavocmamia Haki Si Kama Tz Huku Tz Ingekua Vile Ingekua Poa Sana We Chek Ma Rc Na Ma Dc Wa Kuteuliwa Mixe Kutetea Ilani Ya Chama Na Sio Wananch Na Haki
 
Baadhi ya wafuasi wa laila odinga kenya wamesikitishw na jinsi baba yao huyo aliyekua akiwa nia uraisi nchini humo kwa kukataa kushiriki uchaguzi uliofanyika leo hii nchini kenya ambapo wakenya wenye idadi ndogo walijitokeza kupiga kura leo laila odinga anadai hanaimani na tume ya taifa ya uchaguzi ya kenya hivyo ifumuliwe na akadai wao wanasubiri uchaguzi ulioandaliwa ndani ya siku 90 hivi ni vichekesho. nimemnukuu mkenya mmoja akisema Afadhari aje kucheza biko tanzania kuliko kumchagua laila kwani ni muuaji ina kuwaje wakenya wanakufa kila siku kwa ajiri yake na watu wanampenda na mahakama ilitoa amri uchaguzi urudiwe lakini bado amekataa. Hiki kitu kimewaudhi wakenye wengi sana......maytake naungana na jaji lubuva alivyosema hakuna chakujifunza kutoka tume ya uchaguzi ya kenya. Ushauri wangu wakenya igeni kutoka tanzania namna ya kufanya uchaguzi wenye amani iliyotukuka japo maneno ya hapa na pale hayakosekani duniani kote lakini watanzania ni waungwana sana.
Tulia uandike kingine labda kinaweza kuchekesha.Pia sio laila odinga ni Raila Odinga.Pia mwalimu wako wa hukoooo angekufundisha matumizi ya capital letters ingekua inachekesha zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nimekimbia hapa haraka ili nami nicheke pia ila nimemaliza habari hata tabasamu tu nimeshindwa...Duh!!
 
Back
Top Bottom