Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Unajitoa sadaka kupigania haki katika nchi yako,

Huo ni uzalendo tosha, kufa na kupigania kwa ajili ya watanzania wenzako.

[emoji14] 😀
Hahahahaha mecheka mbayaa uzalendo tz??? hahahah watu wanapenda ubwabwa aseee ukianzisha maandamano unaandamana mwenyewe.. Kifup tz kila mtu anapambana na Hali yake
 
 
Tatizo la waafrika hasa watz ukijitolea kwa ajili yao bado hawataonesha ushirikiano zaidi ya kukucheka na kujitenga,


😀 bora kila mtu apambane na hali yake,
Hilo ndo La msingi.
huku kwetu hatupambanii mambo ya ujamaa/Group/Tribe or anythng

Kila mtu anapambana na hali ya kwake...au Familia yao
kwenye ukoo tu hatupambaniani.....

Sasa niuze nafsi nigundue nini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.


Je? Uhuru/Serikali inamwogopa Odinga!!?

Na Jeuri ya Odinga anaitoa wapi?
 
Hahahahaha mecheka mbayaa uzalendo tz??? hahahah watu wanapenda ubwabwa aseee ukianzisha maandamano unaandamana mwenyewe.. Kifup tz kila mtu anapambana na Hali yake
Niache kuangalia Habari kama hivi Jf huku nakula biriani
eti nikapigane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asa napigana nigundue nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Marsabit had 90% vote to uhuru on august 8th less than 700 votes have been cast today in the whole county...

How did Uhuru win Elections again??
Massive boycott. Big mistake Jubilee kulazimisha uchaguzi. Kenyans have spoken emphatically.
 
Wakenya wawe na akili zao wenyewe sasa,
Hii kichwa moja tu ya Laila Odinga ndio inasababisha watu baadhi wanauwawa
Na huyu jamaa yake Uhuru, siwamsacrifice mmoja amani iwepo.
Wasitusumbue vichwa.
Usidhani damu ya mtu ni rahisi kama unaua panya! Chunga kinywa chako kilichojaa laana.
"Sacrifice"?????????
 
kwani hizo maiti haziwezi tokea mwambao wa kenya na kusukumwa hadi kwetu.Wenzetu wanasababu nyingi za kupotezana, vita ya magaidi,presha ya uchaguzi,ukabila.....,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…