Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017


Mkono wa sweta ndio nini vile?
 

Amen
 
Kwa yeyote anayejua yanayoendelea nchini Kenya kwa mda huu kupitia source mbalimbali za habari Karibu hapa JUKWANI utahabarishe Uchaguzi unavyoendelea.
 
Hv Wakenya Wanataka Nini Jaman Tume Ipo Huru , Mahakama Ipo Huru , Ma Rc Na Ma Dc Wanachaguliwa Kwa Kura , Cjui Wanahitaji Nini Zaidi
 
Watoto wengi kote nchini wamepata fursa ya kutimiza haki zao za kiktibaa!a[emoji122]
 
Acha hizo 1academ si nilidhani umesepa? Dah hata wewe ni mwanamgambo wa NRM? Ya Joseph samahani Raila? Raundi hii hakuna cha mvi wala nini bora tu uwe una kidole chako cha gumba. πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…