Sasa kama hujui unawashwa kwa malengo gani sasa umepata wapi sababu za kusema ni ushirikina??Usifananishe Olympic na hii jimshumaa lenu la kienyeji.
Olympic ilo pale kwa lengo la kuibua vipaji mbalimbali hasa vya michezo yote dunia nzima.
Nikuulize wewe,
Huo mwenge Wako unawashwa na kutembezwa kwa lengo gani
Kiroho zaidi!Mwenge una umuhim mkbwa Sana .Ni ishara ya taifa kuendelea kuwa Nuru,namaanisha uendelevu wa taifa .Manake bado taifa linaishi.Tatizo Ni jinsi labda unavokimbizwa Kama vile galamu zinakua kubwa na wengine humo Ni wapigaji .Lakini mwenge Ni mhimu kuliko mnavojua wengi wenu.
Hili swala Ni la kiroho zaidi
Ndiyo.Waambie vijana wawaulize wazee kuhusu huu mwenge ndo watajua umuhimu wake katika taifa .Sio wazee wote wanajua .CC Mzee msekwa Hawa ndo wanajua kila kitu ndo Kings makers kwa bongoland.Kiroho zaidi!
Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.
Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.
Source: ZBC
Nani wa kuliuwa?Bado Tu hii ibada ya washirikina haijafa?
Aliyejaribu kuiua kafaBado Tu hii ibada ya washirikina haijafa?
Corona haipo maana wakati wa corona Magufuli alizuia mwenge.Hama nchi mkuu ili usiambukizwe corona na ukimwi
Tena ni tukio la hovyo kabisaHili zindiko la mwenge ndilo linalotuongezea TU umaskini watanzania.
Hapa Watu wataambukizana Corona, ukimwi na magonjwa ya Kila Aina, Kila eneo ili dubwasha litakapopita.
Cha ajabu,
Kuna watu humu wanafaidika na hili zindiko, watakuja kulitetea[emoji45]
Tutawafukuza huku kwenye ardhi yetuMwenge ni haramu kwa Wazanzibari kwanza hauwahusu sio katika mila na desturi zao,viereje mkauleta kuwashwa Zanzibar,iwe mwanzo na mwisho kuitia nuksi Nchi yetu ya Zanzibar,hayo mambo ya moto ni huko kwa mabaguwani .
Usifananishe Olympic na hii jimshumaa lenu la kienyeji.
Olympic ilo pale kwa lengo la kuibua vipaji mbalimbali hasa vya michezo yote dunia nzima.
Nikuulize wewe,
Huo mwenge Wako unawashwa na kutembezwa kwa lengo gani
Umerudishwa tena? sasa kama tunajali afya za watu nadhani ilikuwa ni wakati muafaka kutokuukimbiza, kwa sababu kwenye msongamano huko ndiko magonjwa yote yatapatikana hasa ukimwi na c-19 🙄Hili zindiko la mwenge ndilo linalotuongezea TU umaskini watanzania.
Hapa Watu wataambukizana Corona, ukimwi na magonjwa ya Kila Aina, Kila eneo ili dubwasha litakapopita.
Cha ajabu,
Kuna watu humu wanafaidika na hili zindiko, watakuja kulitetea[emoji45]
Kafa , kajifia au kauliwa?Aliyejaribu kuiua kafa
Hatutaki tuta, tunataka tunaTutawafukuza huku kwenye ardhi yetu
Ndiyo nini?Hatutaki tuta, tunataka tuna
Rudi shuleNdiyo nini?
Ada natoa wapi?Rudi shule
LumumbaAda natoa wapi?
Kukavu mkuuLumumba