Sasa kama hujui unawashwa kwa malengo gani sasa umepata wapi sababu za kusema ni ushirikina??Usifananishe Olympic na hii jimshumaa lenu la kienyeji.
Olympic ilo pale kwa lengo la kuibua vipaji mbalimbali hasa vya michezo yote dunia nzima.
Nikuulize wewe,
Huo mwenge Wako unawashwa na kutembezwa kwa lengo gani