Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

Usifananishe Olympic na hii jimshumaa lenu la kienyeji.

Olympic ilo pale kwa lengo la kuibua vipaji mbalimbali hasa vya michezo yote dunia nzima.

Nikuulize wewe,
Huo mwenge Wako unawashwa na kutembezwa kwa lengo gani
Sasa kama hujui unawashwa kwa malengo gani sasa umepata wapi sababu za kusema ni ushirikina??
 
Mwenge una umuhim mkbwa Sana .Ni ishara ya taifa kuendelea kuwa Nuru,namaanisha uendelevu wa taifa .Manake bado taifa linaishi.Tatizo Ni jinsi labda unavokimbizwa Kama vile galamu zinakua kubwa na wengine humo Ni wapigaji .Lakini mwenge Ni mhimu kuliko mnavojua wengi wenu.
Hili swala Ni la kiroho zaidi
Kiroho zaidi!
 
Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.

Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.

Source: ZBC

Bado Tu hii ibada ya washirikina haijafa?
 
Mwenge ni haramu kwa Wazanzibari kwanza hauwahusu sio katika mila na desturi zao,viereje mkauleta kuwashwa Zanzibar,iwe mwanzo na mwisho kuitia nuksi Nchi yetu ya Zanzibar,hayo mambo ya moto ni huko kwa mabaguwani .
 
Hili zindiko la mwenge ndilo linalotuongezea TU umaskini watanzania.

Hapa Watu wataambukizana Corona, ukimwi na magonjwa ya Kila Aina, Kila eneo ili dubwasha litakapopita.

Cha ajabu,
Kuna watu humu wanafaidika na hili zindiko, watakuja kulitetea[emoji45]
Tena ni tukio la hovyo kabisa
 
Mwenge ni haramu kwa Wazanzibari kwanza hauwahusu sio katika mila na desturi zao,viereje mkauleta kuwashwa Zanzibar,iwe mwanzo na mwisho kuitia nuksi Nchi yetu ya Zanzibar,hayo mambo ya moto ni huko kwa mabaguwani .
Tutawafukuza huku kwenye ardhi yetu
 
Aliyekusema vibaya hapo juu alikuwa sahihi na sidhani kama anahitaji kukuomba radhi.
Usifananishe Olympic na hii jimshumaa lenu la kienyeji.

Olympic ilo pale kwa lengo la kuibua vipaji mbalimbali hasa vya michezo yote dunia nzima.

Nikuulize wewe,
Huo mwenge Wako unawashwa na kutembezwa kwa lengo gani
 
Hili zindiko la mwenge ndilo linalotuongezea TU umaskini watanzania.

Hapa Watu wataambukizana Corona, ukimwi na magonjwa ya Kila Aina, Kila eneo ili dubwasha litakapopita.

Cha ajabu,
Kuna watu humu wanafaidika na hili zindiko, watakuja kulitetea[emoji45]
Umerudishwa tena? sasa kama tunajali afya za watu nadhani ilikuwa ni wakati muafaka kutokuukimbiza, kwa sababu kwenye msongamano huko ndiko magonjwa yote yatapatikana hasa ukimwi na c-19 🙄
 
Back
Top Bottom