Na mfano kaonyesha Russia kuchukua sehemu ya Ukraine na kobasi wakaunga mkono . Na Israel ayachukua sehemu kubwa ya Gaza. Na watu wataunga mkono na kobusi watasahau Kama waliunga mkono Russia kule UkraineNaona atauchukua kabisa ukanda wa Gaza utakua wake
Unaijua Gaza kweli mkuu?Kwann unasema hawana hatia ,siwalipewa muda wakuondoka Gaza ,acha wavune wanayopanda wanaume zao
Palestine hata waungane na dunia nzima still hawawezi futa taifa la Israel, never! Kuna vita itakuja ambapo mpinga Kristo atajaribu kutaka kuifuta Israel still naye hatofanikiwa.Yaani nasubiri mwisho wa mchezo nione hao waliovamia wenzao km watafanikisha Lengo la kuifuta Israel na kuchukua hiyo ardhi
WATANZANIA TUANDAMANE KUIUNGA MKONO ISRAEL DHIDI YA MAGAIDI HAMASHakuna Kurudi Nyuma ni mwendo wa uharibifu na kuvunja kwa kwenda mbele
Waislam nao waache hizo.
Haijalishi hata kama nimixa ..kwann wakawashambulie wana wa munguNaw umekariri...sio Wapalestina wote ni waislam.. na sio Waisraeli wote ni wakristo. .
Mkuu jumuia wa kimataifa wawawezi kuwafanya kitu chochote Israel.Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea kule kufanywa kule gaza dhidi ya watoto na wamama wa kipalestina.
Nimeona video nyingi za kuogofya na kusikitisha. Hii nguvu waalotumia jeshi la israel dhidi ya raia wa kipalestina ni kubwa mno. Tuyalaani matukio ya kinyama yanayofanywa na jeshi israel kwa raia wa palestina.
Waislamu watachukia kweliWATANZANIA TUANDAMANE KUIUNGA MKONO ISRAEL DHIDI YA MAGAIDI HAMAS
Hii vita inachukuliwa kidini zaidi, wahindi hawawapendi kabisa waislamu na huwa wanawabagua waziwazi wakiwa baadhi ya sehemu za India, wadada wanaovaa Hijab huwa wanarushiwa mawe na watoto wadogo kabisaHivi kwanini wahindi wanaonyesha chuki za wazi kwa palestina kunanini nyuma yake?
π€£π€£π€£π€£π€£Tena kwa wenye dini zao hapa hapatoshiSoon na hapa jf watu watatafutana watiane makonde, hii vita ni kubwa zaidi ya tuionavyo.
Umeona eeeHii vita ni kwa sababu inahisisha imani... Muislamu anakuwq upande wa Palestina na Mkristo upande wa Israel
Huku wahindu, budhaa na watu kutoka India, China, Korea, Japan wakishangaa hawa jamaa wanagombania nini πππ