Jamani kuna vitu twende navyo polepole sana lineage ya ibada kwa Mungu inaanzia Adam ambaye ni baba wa wote. Kuanzia hapo Mungu ametuma manabii duniani kuwaonya watu wote na akawaita watu wamjue Yeye na wawakulishe wengine maana Mungu hawezi kuwa monopolized na watukana kwamba si Mungu wa wote. Tatizi la ku Monopolize Mungu ni ujinga wa kibuadamu ambaye anadhani kwa kutumwa kama nabii au mjumbe au kwa kufunuliwa kile watuwanatakiwa watende anadhani yeye ni bira kuliko wasiomjua Mungu. Hili ndio tatizo la dini hizi ambazo zimeanzia mashariki ya kati Israeli akipewe mitume na manabii wengi kuliko kabila lolote tuniani na ndugi zake. Hata hili jina Israeli maana yake ni Yakubu mtoto Isihaka mjukuu wa Ibrahimu. Tatizo la Israel ni kutomjua Mungu wakadhani wao ni bora sana na kum monipolize Mungu na kutenga wengine asiwe Mungu wao ndio maana manabii waliowaambia kuwa Mungu anao watu nje yao na kuwa nai ni waasi tu kama wengine waliwaua. Tatizo la arabss ni kudhani kuwa wanaweza kuanzisha mfumo mwingine wa ibada ya Mungu ambaye ni wa wote nai waka m monopolize Mungu pia.
Hawa Mayahudi (Jews) ni wana wa Yuda kati ya kabila zao 12 na ibada yao ya judaism ilibaki na ibada ya mwili wala si ya roho. Mungu anasema Mpende Mungu , mpende jirani yako kama nafsi yako. Sasa hapo wana huo UPENDO? No!. Waarabu waliamini dini ya mayahudi mwanzini lkn mayahudi walipoona waarabu si watu wa kuwa nao Waarabu wakageukia namna yao jambi ambalo si swa. Wangewaacha wapuuuzi na upuuzi wao wao wakaendelea kuwa na ibada ya kwi isiyo na sanamu.
Tatizo la wote Jews na Arab walimktaa Masihi Yesu ambaye ndiye Mwokozi wa wote.
Tatizp lililopo linachakigizwa na elites ( Alluminata au Freemason) na wengi wao ni Jewswaasi hususan Roch family. Hawa kazi yao ni ku create chaaos duniani. Kama Jews na arabs wakamwani Al masih issa ambaye wanamtazama kama imam Mahdi ajaye watakwepa kupiganishwa na kuishi kama ndugu na jirani.
Vita hii ina political mentality na religious idealogy zote za kipuuzi. Wapo Jews wanamheshimu Mungu na Arabs as well.. Ni upuuzi kugombea maeneo eti ni ya Hija huyu akisema Suleiman alikiwa wa dini yetu. Suleima, Daudi, Yakobo wala Ibrahim hawakuwa na judaism wala islamic worship. Afterall "Mungu ni Roho wamwabudup watamwabudu ktik Roho na Kweli" hizi ibada zingine ujinga wetu kibinadamu.
Dunia itahukuniwa kwa mktaa AlMasih Yasua mwana wa Mariam ktika mwili. The incarnated God.
Acha wauane. Wewe acha kutumia ukristo au uislam au namna yoyote kumdharau mwenzio kiyama yaja utahukumiwa kwa matendo yako.
Inshallah. Shalim. Sifa ni kwa Bwana wetu Kristo Yesu. Amina
Unaongea kitumwa zaidi.hitler ni mkatoliki na aliwaua Jewish unazani kwa nn? Hao hawautambui ukristo usijipendekeze na waliwakataa manabii wote wa mungu ebu tumia akili acha kumezeshwa pumba