LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Naona atauchukua kabisa ukanda wa Gaza utakua wake
Na mfano kaonyesha Russia kuchukua sehemu ya Ukraine na kobasi wakaunga mkono . Na Israel ayachukua sehemu kubwa ya Gaza. Na watu wataunga mkono na kobusi watasahau Kama waliunga mkono Russia kule Ukraine
 
Kwann unasema hawana hatia ,siwalipewa muda wakuondoka Gaza ,acha wavune wanayopanda wanaume zao
Unaijua Gaza kweli mkuu?
Kale maeneo kamezungushiwa uzio sehemu zote.

Entry ni mbili tu,Geti la kupitia Israel na la kupitia Egypt..Na pengine Sio rahisi kuonekana wanakimbia maana hata Hamas wenzao pengine wakawageuzia kibao.
 
GAZA hapakaliki - ni balaa tupu ndugu zangu.. mji haujawahi kupigwa na makombola mazito namna hii tangu uanzishwe !!

  • Israel says its aerial bombardment of the Gaza Strip is one of the largest it has conducted on the besieged territory.
  • Israel says it will impose a “total blockade” on Gaza, including a ban on admitting food and fuel, amid increasing indications of a possible ground operation.

 
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi to troops on the Gaza border: "After a rough start, we are shaping the line of engagement. We hit a lot of terrorists, whoever gets close, they are killed. We will finish purifying the area, so that we will not have terrorists here, and we are at the same time already on the offense. We have many more tasks, we need to be strong. It started badly, and will end very badly on the other side."
 

Attachments

  • 20231009_194435.jpg
    20231009_194435.jpg
    131.2 KB · Views: 1
Yaani nasubiri mwisho wa mchezo nione hao waliovamia wenzao km watafanikisha Lengo la kuifuta Israel na kuchukua hiyo ardhi
Palestine hata waungane na dunia nzima still hawawezi futa taifa la Israel, never! Kuna vita itakuja ambapo mpinga Kristo atajaribu kutaka kuifuta Israel still naye hatofanikiwa.
Kwenye Zekaria 2:8 Mungu anawaambia wana wa Israel "Hakika, anayewagusa nyinyi anagusa mboni ya jicho langu." hii ni kuonyesha how God is serious na taifa lake aliloamua kujifunua hapa duniani. Usicheze na Mungu inapokuja issue ya Israel na ndiyo maana now Iran karuka kimanga kasema aku sikuwasaidia Hamas miyeee, maana anajua jews ni watu gani scientist wake wa nyuklia wengi sana wameuwawa na Israel hivyo anajua Israel hatanii inapokuja kupigania usalama wake.
Netanyau anakwambia "Retaliation against Hamas has only just begun" Israel will use "enormous force" against the Hamas militant group.
Watu hawana supplies ya maji, umeme, mafuta, chakula yaani Gaza imehusuriwa kuna nini tena hapo!
Wahenga husema usianzishe vita ilhali upo kwenye nyumba ya vioo, ndicho kinachowakuata Palestine, mwisho wa siku hasara kubwa sana sana itakuwa upande wa Palestine sasa faida gani itakuwa wamepata! na kibaya waarabu wenzao waliowajaza maneno juzi juzi leo hawana cha kuwasaidia ndiyo kwanza wanajadili amani iwepo hivi mtu kama Netanyau atataka amani tena?
 
Fujo kubwa zimeibuka na kusababisha watu watwangane makonde kati ya makundi mawili ya waandamanaji jijini Washington, Marekani.

Katika makundi hayo, moja linawaunga mkono Waisrael na lingine likiwaunga mkono Wapalestina kufuatia mgogoro wa kivita unaoendelea kati ya nchi hizo ambapo walipokutana, wamejikuta wakizichapa kavukavu mitaani.

Wanaowatetea Waisrael wanaona kama wenzao wanaowatetea Wapalestina wanafanya makosa, huku wanaowatetea Wapalestina, nao wakiwaona wanaowatetea Waisrael kama wanafanya makosa.
 
Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea kule kufanywa kule gaza dhidi ya watoto na wamama wa kipalestina.

Nimeona video nyingi za kuogofya na kusikitisha. Hii nguvu waalotumia jeshi la israel dhidi ya raia wa kipalestina ni kubwa mno. Tuyalaani matukio ya kinyama yanayofanywa na jeshi israel kwa raia wa palestina.
 
Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea kule kufanywa kule gaza dhidi ya watoto na wamama wa kipalestina.

Nimeona video nyingi za kuogofya na kusikitisha. Hii nguvu waalotumia jeshi la israel dhidi ya raia wa kipalestina ni kubwa mno. Tuyalaani matukio ya kinyama yanayofanywa na jeshi israel kwa raia wa palestina.
Mkuu jumuia wa kimataifa wawawezi kuwafanya kitu chochote Israel.
Israel wananguvu kubwa kwenye jizo jumuia mkuu hapo wanawangalia tuu
 
Hivi kwanini wahindi wanaonyesha chuki za wazi kwa palestina kunanini nyuma yake?
Hii vita inachukuliwa kidini zaidi, wahindi hawawapendi kabisa waislamu na huwa wanawabagua waziwazi wakiwa baadhi ya sehemu za India, wadada wanaovaa Hijab huwa wanarushiwa mawe na watoto wadogo kabisa
 
Hii vita ni kwa sababu inahusisha imani... Muislamu anakuwa upande wa Palestina na Mkristo upande wa Israel

Huku wahindu, budhaa na watu kutoka India, China, Korea, Japan wakishangaa hawa jamaa wanagombania nini 😂😂😂
 
GAZA Jiji ni Kiza Kinene - Kosa la kuwafuga magaidi... makombola kuendelea .. maisha magumu mno bila maji, umeme na mawasiliano yamekatwa.

“That is cuts in the electricity, there is as well now cuts in the telecommunication and internet in several areas. I think in a few days if things will not calm at least have a humanitarian [truce], I think the situation will collapse in the hospitals,” Abu Mughaiseeb told Al Jazeera as explosions sounded in the background.

He added that there is “no safe place” in Gaza. “The civilians who were injured or killed, they are collateral damage and then they will be numbers – just numbers, added numbers.”
 
Hii vita ni kwa sababu inahisisha imani... Muislamu anakuwq upande wa Palestina na Mkristo upande wa Israel

Huku wahindu, budhaa na watu kutoka India, China, Korea, Japan wakishangaa hawa jamaa wanagombania nini 😂😂😂
Umeona eee
 
Back
Top Bottom