Stori tuNasikia hao jamaa wote wana microchip hivyo jamaa wanawafikia soon.
Kalili tuKihistoria Mashambulizi dhidi ya Israel mwezi wa October huwa yanaacha simanzi kubwa kwa Wahayudi nakumbuka October war Israel against Egypt and Syria ilikuwa moto sana matokeo yake Misri akarejesha eneo lake la Sinai peninsula liliokaliwa kimabavu na Israel.
Mkuu mimi navyojua Waisrael walimkana yesu. Wasasa wakasema laana na iwe juu yetu na vizazi vyetu vyote kwa sababu hawakuamini yesu ni masihi.Nchi ya Israel ilikiwa wapi kabla ya 1947?
🤣🤣🤣Soon na hapa jf waisrael na hamas wa kwa mtogole na bonyokwa watatafutana watiane makonde, hii vita ni kubwa zaidi ya tuionavyo.
Ni swala la muda tu.
Nasikia hao jamaa wote wana microchip hivyo jamaa wanawafikia soon.
Pale ni kwamba mbu ametua kwenye ngozi ya gololi na unapaswa kumuondoa asap kabla hajafikia supu ya wazungu😀Haha kama hadi wewe unajua unafikiri hawatambui ilo
Bora wawaueKufuatia Al Qasam kichumba Mkwara wa kuchinja mateka takribani 100 inaowashikilia Israel imesema haijali kichapo kiko pale pale
Source Al jazeera news
Hatari sana UN mko wapi?
Kwanza futa kauli ya matusi mimi sikukubeza ila kama ni tatizo limekuudhi niwie radhi siwezi kukutukana kwa sababu tu umenitukana I'm too old for this shitAcha ujinga bwana una elimu ya darasa la ngapi kutaka kunifundisha? Mtu mwenyewe mjinga utaweza kuelewa ya Duniani??
Niko mubashara Al jazeera newsUsitufanye mabwege.
Weka link hapa
Wapigwe hadi washindwe kuinama misikitiniKinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea kule kufanywa kule gaza dhidi ya watoto na wamama wa kipalestina.
Nimeona video nyingi za kuogofya na kusikitisha. Hii nguvu waalotumia jeshi la israel dhidi ya raia wa kipalestina ni kubwa mno. Tuyalaani matukio ya kinyama yanayofanywa na jeshi israel kwa raia wa palestina.
Mkuu unatuletea habari mlipuko haswaa.Niko mubashara Al jazeera news
Je mkiuana nyie, waisraeli na wapalestina watawatambua, au mtakuwa mmekufa kibuduKuna lizee humu nalimind siku nyingi ngoja lilete mada ya kutetea hao Palestina nimrafute tuzituange, maana hakuna namna sasa ni wapigwe tu sasa
Kwani Hamas ipo tena? Imeshafutika tayari masaa 48 Israel inafanya land incursion kufagia hizo takataka zenuWe tatizo unamini propoganda za US na Europe si wanamsaidia Israel sa ona kila mmoja anakimbia kuchukua rai wake
Pesa yake srael's shekel slumped even after the Bank of Israel walisema wanaprepared to sell tens of billions of dollars in foreign exchange ili ku boost pesa yao.
Hamasi hataki pesa walizowea kumpoza Hamasi kwa pesa ili asimamishe vita kasema hana shida.
Huyo King wa Jordan akiendelea kuingiza silaha za US na Europe Union kisije kibao kikamgeukia mwache tu aendele na ujinga wake.
Saud Arabia kisha ona hana faida kufanya usala.a na Israel sababu wamegundua ka.a Israel kumbe ni simba kwenye picture tu 😂
Hamasi piga hao wanao onea watoto na wanawake mpaa wajue kuwa na ndege na silaha si kushinda vita, vita wanapigana wanaume si mashoga
View: https://youtu.be/vRFEfaDbtyk?si=Vu1_uJczFHSbTXqv