LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kihistoria Mashambulizi dhidi ya Israel mwezi wa October huwa yanaacha simanzi kubwa kwa Wahayudi nakumbuka October war Israel against Egypt and Syria ilikuwa moto sana matokeo yake Misri akarejesha eneo lake la Sinai peninsula liliokaliwa kimabavu na Israel.
Kalili tu
 
Nchi ya Israel ilikiwa wapi kabla ya 1947?
Mkuu mimi navyojua Waisrael walimkana yesu. Wasasa wakasema laana na iwe juu yetu na vizazi vyetu vyote kwa sababu hawakuamini yesu ni masihi.

Laana ile ilipelekea mpk warumi kuvamia yerusalem na kuuwa Waisrael. Biblia ilieleza hilo mpk watu wakaanza kuloweka ngozi na kuuwa watoto ili wapate chakula.

Sasa baada ya warumi kuvamia pale Waisrael karibu wote walitawanyika dunia mzima. Pale walibaki wachache sana.

Walipo enda duniani huko still walikuwa wanauwawa sana kila sehemu moja wapo ni hilter aliuwa 6 million Jewish.

Baada ya vita vya dunia. Jumuia ya umoja wa mataifa ikaona hawa watu hawana nchi basi wawarudishe pale walipotoka.
Waliwarudisha wakawakuta wapalestina sasa nao wakawakatibisha na kuwapa ardhi kidogo. Waisrael baada ya kupata nguvu wakaanza kuwapola wapalestina ardhi yao.
 
Kufuatia Al Qasam kuchimba Mkwara wa kuchinja mateka takribani 100 inaowashikilia Israel imesema haijali kichapo kiko pale pale.


Source Al jazeera news

Hatari sana UN mko wapi?
 
Kwanini wasiwape adhabu mbadala kama kuwashughulikia kinyume na utaratibu uliozoeleka kuliko kuwachnja Bin Adam wenzi wao?
 
Acha ujinga bwana una elimu ya darasa la ngapi kutaka kunifundisha? Mtu mwenyewe mjinga utaweza kuelewa ya Duniani??
Kwanza futa kauli ya matusi mimi sikukubeza ila kama ni tatizo limekuudhi niwie radhi siwezi kukutukana kwa sababu tu umenitukana I'm too old for this shit
Uwe na amani piga mbili baridi chill 😎
 
Kuna lizee humu nalimind siku nyingi ngoja lilete mada ya kutetea hao Palestina nimrafute tuzituange, maana hakuna namna sasa ni wapigwe tu sasa
 
Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea kule kufanywa kule gaza dhidi ya watoto na wamama wa kipalestina.

Nimeona video nyingi za kuogofya na kusikitisha. Hii nguvu waalotumia jeshi la israel dhidi ya raia wa kipalestina ni kubwa mno. Tuyalaani matukio ya kinyama yanayofanywa na jeshi israel kwa raia wa palestina.
Wapigwe hadi washindwe kuinama misikitini
 
Kuna lizee humu nalimind siku nyingi ngoja lilete mada ya kutetea hao Palestina nimrafute tuzituange, maana hakuna namna sasa ni wapigwe tu sasa
Je mkiuana nyie, waisraeli na wapalestina watawatambua, au mtakuwa mmekufa kibudu

Hiyo ni vita yao waache wapigane... Wao hawafahamu na wala hawatataka kukufahamu kwamba uliwapigania
 
Imagine umetekwa na unapewa HIYO taarifa kwamba kila shambulio litamaanisha kuchinjwa kwa kukatwa shingo na kisu na ndio mwisho wa wewe kuwa hai hapa duniani unaondoka duniani kwa maumivu makali sana hata kale ka imani ka kubadilishana wafungwa hakapo tena POW SWAP DEAL hivyo kufa wewe ni 100% kinyama na kikatili kisu kinapenya shingo na macho kuanza kuona giza na hatimaye unaanza kujisaidia na kukojoa kwa maumivu makali ya kisu kukata mifupa duuuuuuuh.
 
We tatizo unamini propoganda za US na Europe si wanamsaidia Israel sa ona kila mmoja anakimbia kuchukua rai wake


Pesa yake srael's shekel slumped even after the Bank of Israel walisema wanaprepared to sell tens of billions of dollars in foreign exchange ili ku boost pesa yao.


Hamasi hataki pesa walizowea kumpoza Hamasi kwa pesa ili asimamishe vita kasema hana shida.

Huyo King wa Jordan akiendelea kuingiza silaha za US na Europe Union kisije kibao kikamgeukia mwache tu aendele na ujinga wake.

Saud Arabia kisha ona hana faida kufanya usala.a na Israel sababu wamegundua ka.a Israel kumbe ni simba kwenye picture tu 😂

Hamasi piga hao wanao onea watoto na wanawake mpaa wajue kuwa na ndege na silaha si kushinda vita, vita wanapigana wanaume si mashoga



View: https://youtu.be/vRFEfaDbtyk?si=Vu1_uJczFHSbTXqv

Kwani Hamas ipo tena? Imeshafutika tayari masaa 48 Israel inafanya land incursion kufagia hizo takataka zenu
 
Back
Top Bottom