LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea kule kufanywa kule gaza dhidi ya watoto na wamama wa kipalestina.

Nimeona video nyingi za kuogofya na kusikitisha. Hii nguvu waalotumia jeshi la israel dhidi ya raia wa kipalestina ni kubwa mno. Tuyalaani matukio ya kinyama yanayofanywa na jeshi israel kwa raia wa palestina.
Ila kilichofanywa na hamas ni sahihi?
Kuvamiwa na kuua raia 600 ambao ht hawahusiki na mambo Yao ?
Kwahiyo Israel akae kimya km fala?
 
Kufuatia Al Qasam kuchimba Mkwara wa kuchinja mateka takribani 100 inaowashikilia Israel imesema haijali kichapo kiko pale pale

Source Al jazeera news

Hatari sana UN mko wapi?
UN watafanya nini kwa ugomvi ambao hupo kabla Yesu hajazaliwa na ata alipozaliwa bado aliuacha.Hao hawajaanza leo kupigana,ata Goliati aliyepambana na Daudi pia ni uzao wa Kipalestina(Wafilisti).Sasa nani wa kuamulia ugomvi huo?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
UN watafanya nini kwa ugomvi ambao hupo kabla Yesu hajazaliwa na ata alipozaliwa bado aliuacha.Hao hawajaanza leo kupigana,ata Goliati aliyepambana na Daudi pia ni uzao wa Kipalestina(Wafilisti).Sasa nani wa kuamulia ugomvi huo?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kanaani (Palestina) vs Israeli

Zilishapigwa sana kati ya Kanaani na Israeli enzi za Yoshua na Daudi
 
Mkuu mimi navyojua Waisrael walimkana yesu. Wasasa wakasema laana na iwe juu yetu na vizazi vyetu vyote kwa sababu hawakuamini yesu ni masihi.

Laana ile ilipelekea mpk warumi kuvamia yerusalem na kuuwa Waisrael. Biblia ilieleza hilo mpk watu wakaanza kuloweka ngozi na kuuwa watoto ili wapate chakula.

Sasa baada ya warumi kuvamia pale Waisrael karibu wote walitawanyika dunia mzima. Pale walibaki wachache sana.

Walipo enda duniani huko still walikuwa wanauwawa sana kila sehemu moja wapo ni hilter aliuwa 6 million Jewish.

Baada ya vita vya dunia. Jumuia ya umoja wa mataifa ikaona hawa watu hawana nchi basi wawarudishe pale walipotoka.
Waliwarudisha wakawakuta wapalestina sasa nao wakawakatibisha na kuwapa ardhi kidogo. Waisrael baada ya kupata nguvu wakaanza kuwapola wapalestina ardhi yao.
Addition Na walirudi kupitia mashirika yao Zionism na ile siyo Aridhi ya Palestine ni aridhi Ya Israel Mkuu.
 
Naona taifa teule badala wawafuate hamas kwenye medani hasira zote wana zihamishia kwenye majengo na kwenye kambi za wakimbizi kweli Israel ina jeshi michicha sana.
Hapo wana fanya Air raid kwa kupiga Target za Hamas, alafu baada ya hapo inaanza ground invasion kwa kutumia vifaru, hii ground invasion ndo inaenda kusafisha kila kitu hapo Gaza.
 
Zimebaki kilometers 10 tu Hamas waingie ukingo WA magharibi Israeli upande wa ardhini naona imezidiwa
1696873496282.jpg
 
1st, Majimaji war was very different from this war.

2nd, Siwez kutafakari kitu chochote unachoniambia ww.

3rd, Broo alaf nishakwambia siwez kufanya mazungumzo na mtu kama ww, unatukana tukana watu JF kama vile hutumii akili, pita kushoto.
Huyo Jamaa Hana anacho waza Yani, hoja Hana amebaki matusi tu
 
Israeli death toll in Hamas massacre expected to reach 1,000. Over 100 bodies found in southern Israel's Kibbutz Be'eri after it was cleared of terrorists.
 
Back
Top Bottom