LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ila kilichofanywa na hamas ni sahihi?
Kuvamiwa na kuua raia 600 ambao ht hawahusiki na mambo Yao ?
Kwahiyo Israel akae kimya km fala?
 
Kufuatia Al Qasam kuchimba Mkwara wa kuchinja mateka takribani 100 inaowashikilia Israel imesema haijali kichapo kiko pale pale

Source Al jazeera news

Hatari sana UN mko wapi?
UN watafanya nini kwa ugomvi ambao hupo kabla Yesu hajazaliwa na ata alipozaliwa bado aliuacha.Hao hawajaanza leo kupigana,ata Goliati aliyepambana na Daudi pia ni uzao wa Kipalestina(Wafilisti).Sasa nani wa kuamulia ugomvi huo?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kanaani (Palestina) vs Israeli

Zilishapigwa sana kati ya Kanaani na Israeli enzi za Yoshua na Daudi
 
Addition Na walirudi kupitia mashirika yao Zionism na ile siyo Aridhi ya Palestine ni aridhi Ya Israel Mkuu.
 
Naona taifa teule badala wawafuate hamas kwenye medani hasira zote wana zihamishia kwenye majengo na kwenye kambi za wakimbizi kweli Israel ina jeshi michicha sana.
Hapo wana fanya Air raid kwa kupiga Target za Hamas, alafu baada ya hapo inaanza ground invasion kwa kutumia vifaru, hii ground invasion ndo inaenda kusafisha kila kitu hapo Gaza.
 
1st, Majimaji war was very different from this war.

2nd, Siwez kutafakari kitu chochote unachoniambia ww.

3rd, Broo alaf nishakwambia siwez kufanya mazungumzo na mtu kama ww, unatukana tukana watu JF kama vile hutumii akili, pita kushoto.
Huyo Jamaa Hana anacho waza Yani, hoja Hana amebaki matusi tu
 
Palestina inavyo chakazwa. Soon wataanza kupost picha za watoto waliokufa ili dunia iwaonee huruma. Vita haina macho
View attachment 2777083
Washaanza tangu jana. Halafu Muyahudi wala hata habahatishi, anapiga majengo ambayo ana taarifa nayo kuwa yanajihusisha na hamas, tena anatuma meseji kwanza (sms) kuwajulisha wakazi waondoke.
 
Israeli death toll in Hamas massacre expected to reach 1,000. Over 100 bodies found in southern Israel's Kibbutz Be'eri after it was cleared of terrorists.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…