FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
1947 walipigana vita ya kitu gani?Kabla ya 1947 ilikuwepo palepale walipo sasa, ila miaka mingi kabla hawakuwepo pale.
Ni kama vile Zanzibar ambavyo ingekuwepo kama Sultan angeendelea kuwepo.
Mfano mzuri ni Sudan ya Khartoum na Sudan Kusini. Ndivyo walivyokua wakiishi Israel na Palestine.
Kuna uzi nimeupandisha humu muda si mrefu, nimeweka video clip. Naomba ukaptie kule. Upo Jukwaa la Kimataifa1947 walipigana vita ya kitu gani?
Hivi huyu Allah ndo nani? Nasikiaga wanamtaja sana kwenye mission zao ovu. Ni nani huyo kwani?!
Halafu mabikra 72 utawapa wewe? Maana mnyazi yeye furaha yake ni kuona damu ndo anatoa mabikraKwanini wasiwape adhabu mbadala kama kuwashughulikia kinyume na utaratibu uliozoeleka kuliko kuwachnja Bin Adam wenzi wao?
😂 huyo aliye tuma barua UN nani Hamasi au ni puppet wa Israel Mahmoud Abbas huyo FYI kikundi cha Hamasi wala hawana habari naye.Hao unaowasifu ndio wametuma barua UN council wakilalamika kipigo. We subiri tu si tupo hapa utaona kelele zinatoka upande upi
Hivi hii dini inayofundisha kushabikia kuchinja binadamu siielewi kabisa, ugaidi na uislamu vinashabihiana sanaHamas imeshachinja 260 juzi kwenye tamasha la mapapai. Mbona hilo unalisahau?
Imechinja uwanjani wazi, kweupe, na wala siyo kwa kujificha. Allahu Akbar.
Udini ni upuuzihawa magaidi wanajiita waislam mbona makatili hivi.
Okay, hii souce wana doc yoyote kuhusu israel kumbonda palestina? Kama ipo na yenyewe naiomba nicheki
Wayahudi walikuwepo kwenye Ardhi ya Wapalestina kama walowezi.Nami nimeuliza hilo pia, Israel ilikuwa wapi katika hii dunia kabla ya 1947
Hii vita ni kwa sababu inahusisha imani... Muislamu anakuwa upande wa Palestina na Mkristo upande wa Israel
Huku wahindu, budhaa na watu kutoka India, China, Korea, Japan wakishangaa hawa jamaa wanagombania nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu hiyo ni mada nyingine, haijustify kabisa na hao bila shaka wanawadhulumu wenzao.Shida sio lugha utakayochagua, hata ukielezea kisukuma ni sawa ...shida ni hizo reference utakazotumia na uhakika wake kihistoria.
Uwanja ni wako.
Wewe unaamini Quran imeshushwa kutoka kwa Mungu, ni sawa sikupingi...lakini unaona hiyo ndo inatosha kujustify hivi vita watu kuuana?
Yani Mfano leo mwamposa awaambie waumini wake kuwa Kenya ni mali Yao ya toka enzi halafu wakaivamia kwa reference ya mwamposa itakuwa sawa?
Hawa wabaguzi wakimalizana ni salama ya dunia. Wote ni watoto wa baba mmoja. Afrika ikipatwa madhara wala huwa hawajali. Kuna taarifa kuwa waisrael waliwahi kuwasaidia sana kiulinzi wakati wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.
Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.
Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.
Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.
Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.
Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.
Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.
Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.
Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI
View attachment 2774147
Zile ni nchi za kiarabu siyo kiislamu acheni ushambaa.Kabisa na hili linaenda kuibua ugomvi mpya kwenye lile eneo,hata ule uhusiano na nchi nyingi za kiislam uliokuwa unarudi taratibu unaenda kufa kabisa
Hakuna jipya. Israel ni matapeli yanaoiaminisha dunia kuwa yana nguvu. Kumbuka zama za Saddam akitishia mwisho wa dunia wakati alikuwa chiwawa tu. Israel bila marekani hata bongo tunaweza kuwachapa.Majibu ya Israel huwa ni ya kikatili mark my words huu ndo mwisho wa hamas na mwanzo wa maisha mabaya sana kwa wapalestina
Waisrael wanajihadaa na kujitoa akili. Wakati wao wakitumia risasi na kuogopa kifo, wenzao wanazaana kama wadudu na wako tayari kujitoa mhanga kulinda haki na heshima yao. Hata hivyo, haya ni mambo ya ngoswe. Hawa ni watoto wa dugu moja IbrahimNaona atauchukua kabisa ukanda wa Gaza utakua wake