LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mambo ya rohoni ndio mambo gani? Kwa hiyo dini zenu haziruhusu utumie akili? Akili ulipewa kama pambo? Mungu hataki utumie akili?

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu, Mungu hayupo.

Unaona sasa umethibitisha maneno yangu? Uwe na siku njema.
 
1696907460051.jpg
kamanda mwengine WA Israeli amekufa usiku WA kuamkia leo katika uwanja WA mapambano Israeli ardhini inapoteza Askari wengi sana
 
Hezbollar wamejazwa ujinga wakajaa, sasa na wao wameanza kufyekwa.

Haba walijaribu kutaka kuvuka mpaka, wakazimishwa
View attachment 2777084

Huyu ni mmoja wa Makamanda wao. Ameuawa leo.
View attachment 2777085
⚡️#BREAKING Hezbollah announced the death of “martyr Mujahid Hossam Muhammad Ibrahim “Hussam Aitaroun” from the southern town of Aitaroun, who passed away as a result of the Zionist aggression against southern Lebanon this afternoon, Monday 10/9/2023.”

View attachment 2777088
⚡️#BREAKING Ambulances ikiondoka Beirut kuelekea kuelekea kusini mwa Lebanon baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Hezbollar.
Kumpigania Allah ni kazi ngumu sana. Baada ya kufa ni hukumu hakuna cha mito ya ulevi huko peponi wala mabikra 70 😂😂😂😀😀😀. Kichapo kipo pale pale
 
Mzee kwanza unaniomba evidence(Link) nimekupa, asaiv tena unaniomba document? Kweli Broo?? Au labda sijakuelewa??

Inaonekana kwanza hutaki kuamini hayo matukio kama yametokea na pili inaonesha hujui jinsi mambo yanavoendeshwa, unajua maana ya reports??

Mzee hio ni Website ya European Parliament, the elected official legislative body of the European Union(EU) hawawezi kuandika mambo ya umbea au scandal za mitaani, tumia akili broo.

Hizo ni incidents ambazo zimeripotiwa kwa Palestine Police, but hamna uchunguzi uliofanywa na Palestine police wala hatua zozote za kisheria kuchukuliwa, kifupi hawajali kinachowatokea palestine Christian community.

Kama hutaki kuamini bac sikulazimishi.

Tafuta hio document mwenyew sina huo muda.
mbona umekimbilia kwenye defensive mode mkuu?, kama neno doc halifai sio kesi nalibadilisha na link, anyway na hichi ulichofanya ww hata wesetern media nao wanafanya hicho so siwezi shangaa


Jana BBC anapost

500 died in Gaza

700 killed in Israel
 
Sasa msimamo wa Mwalimu Nyerere sio Nchi Today's vip ndugu yangu kama sio wa Nchi mbona hatukuweza kuwa na balozi kwa kipindi chake na Ubalozi wa Israel umekuja juzi tu hapa.
Kiongozi akitoa kauli siyo kwamba ndiyo uanze uhusiano bro!.

Mfano; Wizara ya mambi ya nje imetoa kauli kwamba hatuhungi mkono vita bali watafute suruhu!.

Kiprotocal hiyo ni mbinu ya kujitenga kwa kujionyesha unaegemea upande mmoja.
 
Wewe una undugu na Mpalestina? Makubwa haya Tena, yaani umchukie mzaramo mwenzio umpende mgeni (mzungu, mwarabu, mhindi etc) kwakua tu ni WA dominion Yako?? Huu Sasa ndio UJUHA promax
Washaitoa na tamko Wana andamana hapa Tz..
Halafu walivyokuja wapuuzi hawajui kuwa ht Palestine wakristo pia wapo
 
Kumpigania Allah ni kazi ngumu sana. Baada ya kufa ni hukumu hakuna cha mito ya ulevi huko peponi wala mabikra 70 😂😂😂😀😀😀. Kichapo kipo pale pale
🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
 
Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea
Hakuna jumuiya za kimataifa, Kuna magenge ya kimataifa. Sijui kwa nn watu Bado Wana Imani na UN.
 
Muda wa kilio bado kwa sasa. Maji, chakula na umeme kutoka Israel umekatwa. Ground offensive haijaanza hivyo siku za shida zaidi hapo Gaza ni kuanzia Jumatano hivi kama mgogoro utaendelea.

Israel imepuuza onyo la Hamas kwamba itaua kila raia mmoja aliyetekwa kwa shambulizi lolote litakalofanywa Gaza
Hilo onto la hamas ni useless
 
Back
Top Bottom