matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
⁵
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mfilisti hata mmoja kwenye ardhi ya watoto wa Yakobo. Just update yourself. Ardhi yote ya sedrot tayari imekuwa recovered sasa moto ni mbele kwa mbele. Upanga wa wana wa Yakobo hautawaacha salama kama nyakati zile za Goliath wa gath jitu la miraba kumi 😀😀. Mungu ibariki Israel, walinde watoto wa Yakobo.Mji wa sedrot bado upo mikononi mwa Hamas leo ni siku ya nne Israeli imeshindwa kuukomboa
Endelea kung'ata mtoNenda huko kwenye jibu, kisha ulilete hapa, ikiwa kila mwenye hoja anaambiwa nenda kule au kule hapatakuwa na jukwaa, bali vurugu. Jibu hoja au piga kimya.
Kinachoniuma ni uwepo wa Watanzania kama wewe.Hakuna mfilisti hata mmoja kwenye ardhi ya watoto wa Yakobo. Just update yourself. Ardhi yote ya sedrot tayari imekuwa recovered sasa moto ni mbele kwa mbele. Upanga wa wana wa Yakobo hautawaacha salama kama nyakati zile za Goliath wa gath jitu la miraba kumi 😀😀. Mungu ibariki Israel, walinde watoto wa Yakobo.
Huu ni mtazamo wako pia. Halafu, ni wazi umehama tayari kwenye hoja ya msingi. Ukihitaji msaada wowote husika, pls tuwasiliane. 🙂Maandiko hayawezi tatua kitu pale
Hawa makobazi wameukanyaga moto mbaya kabisa. Kipigo watakachokula lazima kiwe cha kihistoria.Acha tuone panapovuja ...
Twende kazi.....
Jibu hoja au piga kimyaEndelea kung'ata mto
View: https://youtu.be/eOrS1-eegb8?si=viHY0I1FDSRJ4gF1
Yani Gaza sijui wamekufa wangapi.
Israel wanasema tu idadi ya watu waliokufa maana askari wao inaonyesha kama 50 hivi wanaweza kufika.
Ila kwa upande wa hamas naona wapo kimya.
Na abarikiwe Israel, na lihimidiwe jina la Mungu wa Yakobo. Ulitaka ni justify upuuzi unaofanywa na hamas kwa ajili ya Allah 😂😂😂😂 siwezi kuwa Punguani kama wewe unayeamini katika kuuwa watu ili kumsaidia mungu wenu dagoni. Kichapo kipo pale pale uone aibu usione aibu it's up to you.Kinachoniuma ni uwepo wa Watanzania kama wewe.
Najiakia Aibu, unatumia kitabu kilichoandikwa na wayahudi kujustify kinachofanywa na Wayahudi.
Hiyo Israel huwa mnaikuza sana lakini ni jeshi moja oga sana.Hawa makobazi wameukanyaga moto mbaya kabisa. Kipigo watakachokula lazima kiwe cha kihistoria
Mbona hamas hakwenda kwenye military bases za watoto wa Yakobo akaenda kwenye music festival. Wale vijana walikosa nini?.Wameyatimba wacha kazi iendelee ndio siku nyingine iwe funzo. Mungu wa Israeli, yupo macho. Never sleep.Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
Na wao wanapochinjwa na makombora watulie kimya Allah Dagon aje kuwasaidia. Kichapo kipo pale pale.Imechinja uwanjani wazi, kweupe, na wala siyo kwa kujificha. Allahu Akbar.
Endelea kutulia hivyo hivyo,hata ukitetea haitasaidia!Mm sijui hata nimtetee nani maana wote nawachukia
Sawa myahudi mweusiUtakombolewa tu,. Usiwe na haraka
Haya mambo tukianza kunukuu biblia au kura an, Hapa ndipo tunapoonesha ujinga wetu! 😇😇, wao ndio wametuletea!Kinachoniuma ni uwepo wa Watanzania kama wewe.
Najiakia Aibu, unatumia kitabu kilichoandikwa na wayahudi kujustify kinachofanywa na Wayahudi.
Sisi hatuuwani maana ni ndugu ila japo vikofi viwili tu nimkate
Ngoja tuone who is a champ, kwani wao mapalestina hawakurusha makombora? Na kubomoa southern Israel?Hiyo Israel huwa mnaikuza sana lakini ni jeshi moja oga sana.
Yaani unajitapa una jeshi bora na lenye nguvu lakini badala uwafuate Hamas under ground ww unarusha mabomu hovyo hovyo kwenye makazi ya watu kweli taifa teule ni michicha sana.
Hakuna Mkristo anatumia hilo neno, hata kwa kiarabu. Na Wakristo wa kiarabu ni mateka wa Waarabu waislam kwenye ardhi yao hiyo hiyo, au unadhani tumesahau matukio ya kuwapiga mawe wanayofanyiwa ma "waarabu" wenzao kisa dini yao? Na hawasemi Allah, wao wanaita Illah they don't belive in God called Allah. Usitulishe propaganda. Umekazana makanisa, makanisa wakati 99.9% ya Gaza ni waislam, we vipi.
Nina undugu na mtanzania mwenzangu humu jfUna undugu na nani mkuu?