Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hii ni kwa mujibu wa nani, mkuu? Respect kwa hoja yako, lakini bado haina haki ya kunyonga hoja zingine ambazo most likely ni bora zaidi.kwenye mgogoro huu, mtu ukitaja na hoja za maandiko ya dini yoyote ile, tayari ushapoteza mantiki