LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wewe una undugu na Mpalestina? Makubwa haya Tena, yaani umchukie mzaramo mwenzio umpende mgeni (mzungu, mwarabu, mhindi etc) kwakua tu ni WA dominion Yako?? Huu Sasa ndio UJUHA promax
Sichukii mtu, ila nachukia maovu/matendo yao. Wewe hapo na uyahudi wako au ukristo wako unategemea utakua rafiki yangu! Kwanini nisiwe na rafiki mwarabu ambae ni ndugu yangu katika imani! Narudia tena, simchukii mtu yeyote yule ila nachukia maovu yao
 
Mbona hamas hakwenda kwenye military bases za watoto wa Yakobo akaenda kwenye music festival. Wale vijana walikosa nini?.Wameyatimba wacha kazi iendelee ndio siku nyingine iwe funzo. Mungu wa Israeli, yupo macho. Never sleep.
Sasa Israel ikifanya Hamas ilicho kifanya yeye na Hamas mnao waita magaidi watakuwa na tofauti gani?

Yaani uwaite magaidi kisa wameuwa raia alafu na ww uende kulipiza kwa kufanya kile kile kilicho fanywa na magaidi sasa na ww si utakuwa gaidi?

Israel iache kufanya mambo kiholela huo ubora inao jisifu nao inabidi iuneshe kwa vitendo ,huwezi kujiita una nguvu kwa kushambulia hovyo majengo kwa sababu hakuna jeshi duniani lisilo weza kufanya hivyo.
 
Ngoja tuone who is a champ, kwani wao mapalestina hawakurusha makombora? Na kubomoa southern Israel?
Israel ni nchi na Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wenu ,hivyo Israel inabidi ijitofautishe na hamas kwa kufanya mambo kwa weledi na sio kiholela.

Unajiita eti una jeshi bora alafu unarusha rusha mabomu hovyo kama vichaa kwenye nyumba za watu huo ubora wako uko wapi?
 
Ubalozi wa Tanzania nchini Israel unazidisha juhudi za kuwatafuta wanafunzi wawili wa Kitanzania ambao wameripotiwa kupotea kufuatia shambulizi la hivi karibuni la Hamas katika eneo hilo.

Balozi Alex Kallua, aliambia BBC kwamba ubalozi huo umekuwa ukifanya kazi kwa bidii ili kuanzisha mawasiliano na takriban raia 350 wa Tanzania katika maeneo mbalimbali ya Israel, wengi wao wakiwa ni wanafunzi wanaofuata matamanio yao ya elimu.

Balozi Kallua alionyesha wasiwasi wake mkubwa juu ya usalama wa wanafunzi wawili wa Kitanzania wanaoaminika kuwa katika eneo lililoathiriwa la Israeli Kusini. Alifichua, "Tumegundua kuwa kuna wanafunzi wawili ambao hawajulikani waliko katika eneo la kusini mwa Israel, ambapo hali ya usalama inasalia kuwa tete.

Vijana hawa wawili walikuwa wakishiriki kikamilifu katika programu ya mafunzo iliyolenga masomo ya biashara ya kilimo.

Pamoja na hali hiyo, Balozi Kallua aliendelea kuwa na matumaini na kusema, "Tuna sababu ya kuamini kuwa wanafunzi wawili waliopotea wako salama, na kipaumbele chetu kikubwa ni kuhakikisha hali yao inaimarika. Ubalozi unafuatilia kwa makini hali inayoendelea ili kuhakikisha usalama unakuwepo. ya raia wote wa Tanzania wanaoishi Israel."

Ubalozi wa Tanzania nchini Israel ulifichua zaidi kwamba kuna takriban raia 350 wa Tanzania wanaoishi nchini humo, huku sehemu kubwa ikiwa ni watu 260, wanaofuatilia kikamilifu programu za kilimo kama sehemu ya safari yao ya elimu.
 
Israel ni nchi na Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wenu ,hivyo Israel inabidi ijitofautishe na hamas kwa kufanya mambo kwa weledi na sio kiholela.

Unajiita eti una jeshi bora alafu unarusha rusha mabomu hovyo kama vichaa kwenye nyumba za watu huo ubora wako uko wapi?
Tulia Dawa Iwaingie Mbona Kipindi wanarusha Rocket zaidi ya 1000 kulenga makazi ya watu na Magorofa mlikua wapi hamkusema saivi wamezidiwa ndo mnajitokeza eti hawana Jeshi Bora.
"In every action there is Equal Reaction"
So Israel anacho fanya ni equal reaction kwa hao wavaa makobasi
 
🤣🤣🤣🤣
 
Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
Mbona hamas ilishambulia makazi ya watu waliokuwa kwenye shughuli zao ambao hawana hatia?

Waendelee tu kwakweli,hakuna namna
Maana tumezaliwa timekuta wanapigana ,na tutwaacha hakuna wa kuweza kusimamishwa hili , mwanadamu,au Chochote zaidi ya Mungu mwenyewe
 
Israel ni nchi na Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wenu ,hivyo Israel inabidi ijitofautishe na hamas kwa kufanya mambo kwa weledi na sio kiholela.

Unajiita eti una jeshi bora alafu unarusha rusha mabomu hovyo kama vichaa kwenye nyumba za watu huo ubora wako uko wapi?
Yaan mzee wangu nadhani unge digest Kwa Kwanza kwann wanalenga majengo baadhi Tu na siyo kila jengo
Lakin pia juzi nilikuwa makini kufatili jengo moja likiwa Lina shushwa nilisikia sauti Kama ya Bomu imegonga jengo mtangazaji akasema hiyo ni ishara yakwa ilo jengo litabomolewa mda siyo mrefu na kweli dakika Kama tano jengo likashushwa,sasa niambie niadui unataka awe mzur kias gan ambaye anakupa ishara kabla hajakushambulia,
Nilazma uelewe yakwamba taarifa za kiintelejensia huwa zinatolewa Kwanza kwamba labda ndani ya jengo kuna silaha,au mipango ya kushambulia Israel ndo wanabomoa ilo jengo.
Wanaamini muda ishara inapolewa mpaka jengo linapobomolewa Kama mtu upo karibu utakuwa ushakimbia hata Kama upo ndani lakin ningumu kutumia huo muda kuamisha silaha
 
Huu ni mtazamo wako pia. Halafu, ni wazi umehama tayari kwenye hoja ya msingi. Ukihitaji msaada wowote husika, pls tuwasiliane. 🙂
Mkuu ni mdau wa kawaida tu toka hapa Tz. And yes tupo hapa jukwaani kutoa mitazamo, mm mtazamo wangu ni hao watu kila mtu apate amani aishi vizuri, kitu ambacho bado hakipo,

Hoja ya msingi bado sijatoka na narudia maandiko ya dini yoyote hayawezi tatua kitu hapo.
 
Tulia Dawa Iwaingie Mbona Kipindi wanarusha Rocket zaidi ya 1000 kulenga makazi ya watu na Magorofa mlikua wapi hamkusema saivi wamezidiwa ndo mnajitokeza eti hawana Jeshi Bora.
"In every action there is Equal Reaction"
So Israel anacho fanya ni equal reaction kwa hao wavaa makobasi
Hivi una akili ww tahira au una ropoka tu?
Kwanza umeelewa nilicho kiandika?.

Israel anatakiwa kujitofautisha na hao anao waita magaidi kwa kufanya mambo kwa weledi na sio kiholela.
Unajiita jeshi bora alafu unarusha mabomu hovyo hovyo kwenye makazi ya watu kama vichaa pumbavu
 
nilikuwa naangalia tv moja ya uturuki hapa, hawa jamaa wapo biased na wanafurahi kweli kweli kwamba kuna wayahudi wamekufa na 50 wamechukuliwa mateka.
Na wewe hupo upande gani?? ie unuaje kwamba TV ya Uturuki hipo biased.
 
mm mtazamo wangu ni hao watu kila mtu apate amani aishi vizuri
Nakuunga mkono hadi nukta hii, mkuu. Na wala si zaidi ya hapo.

BTW, wengi sana wangependa kuona hili Iikitokea, tena haraka maana limekwamishwa & kucheleweshwa muda mrefu sana.
 
The Israeli Defense Force has announced the Death of 38 additional Soldiers who were Killed during the Hamas Surprise Attack or during Militray Operations since; this now brings the Total Death Toll for the IDF to at least 124 making this now a Deadlier War than the Second Lebanon War of 2006 and right under the Second Intifada in which the IDF only lost 334 Soldiers between 2000 and 2006.
https://twitter.com/sentdefender/status/1711586020188205194/photo/1
 
Back
Top Bottom