Yaan mzee wangu nadhani unge digest Kwa Kwanza kwann wanalenga majengo baadhi Tu na siyo kila jengo
Lakin pia juzi nilikuwa makini kufatili jengo moja likiwa Lina shushwa nilisikia sauti Kama ya Bomu imegonga jengo mtangazaji akasema hiyo ni ishara yakwa ilo jengo litabomolewa mda siyo mrefu na kweli dakika Kama tano jengo likashushwa,sasa niambie niadui unataka awe mzur kias gan ambaye anakupa ishara kabla hajakushambulia,
Nilazma uelewe yakwamba taarifa za kiintelejensia huwa zinatolewa Kwanza kwamba labda ndani ya jengo kuna silaha,au mipango ya kushambulia Israel ndo wanabomoa ilo jengo.
Wanaamini muda ishara inapolewa mpaka jengo linapobomolewa Kama mtu upo karibu utakuwa ushakimbia hata Kama upo ndani lakin ningumu kutumia huo muda kuamisha silaha