LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
The Israeli Defense Force stated today that the United States has Advised them that U.S. Naval Vessels and Aircraft from Carrier Strike Group 12 which will soon be in the Eastern Mediterranean are prepared to assist with Combat Operations alongside Israel if a Multifront War against Hezbollah or other Regional Actors occurs.
 
Sichukii mtu, ila nachukia maovu/matendo yao. Wewe hapo na uyahudi wako au ukristo wako unategemea utakua rafiki yangu! Kwanini nisiwe na rafiki mwarabu ambae ni ndugu yangu katika imani! Narudia tena, simchukii mtu yeyote yule ila nachukia maovu yao
Huwezi, unaota Kijana Tena ndoto za mchana
 
Limekwamishwa na kucheleweshwa na wanadamu, that means mambo ya amani yanaweza suluhishwa na wanadamu hapo, ila watu wKitaka fungua andiko hili linasem vile ndo watu wanaendelea kushangilia hivo vifo kwa kupokezana tu

Hao jamaa wote wapate amani tu
Nipe source mzee wangu
 
Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
Unampangia mtu jinsi ya kupigana🙆
 
Wew ni Mjinga usie Jua kitu, Israel inachofanya ni sahihi hao Magaidi wanafanya uharibifu Alfu wanakimbia kujificha kwenye Magorofa!! Sasa tulia hivyo isikuume hakuna kujitofoutisha utapokelewa jinsi ulivyo kuja hamna cha huruma Wala nn sambaratisha Kila kitu!!! Ili tukiingia Aridhini wakose pa Kujificha.
Basi wote ni magaidi maana wote wana fanya vitendo vinavyo fanana.
Sio kunya anye kuku bata akinya amehara.
 
Na abarikiwe Israel, na lihimidiwe jina la Mungu wa Yakobo. Ulitaka ni justify upuuzi unaofanywa na hamas kwa ajili ya Allah 😂😂😂😂 siwezi kuwa Punguani kama wewe unayeamini katika kuuwa watu ili kumsaidia mungu wenu dagoni. Kichapo kipo pale pale uone aibu usione aibu it's up to you.
Mkuu nawewe ubarikiwe
Tulia Dawa Iwaingie Mbona Kipindi wanarusha Rocket zaidi ya 1000 kulenga makazi ya watu na Magorofa mlikua wapi hamkusema saivi wamezidiwa ndo mnajitokeza eti hawana Jeshi Bora.
"In every action there is Equal Reaction"
So Israel anacho fanya ni equal reaction kwa hao
Mkuu Palestinian ni wanyama kama jamaa alivyosema Yani hakuna kitacho badilika hapo labda wauwe wote na ukweli ni kwamba hao unao waona ni hapo Gaza wako wengne wng kila mahali sasa usidhani ndio mwisho nakwambia ni mwanzo labda waondoke
 
Screenshot_20231010-103943.png

Magaidi wa Kiislam wa Hamas wamewaweka watoto mateka wa Israel kwenye cage ya wanyama 😴
 
Mkuu nawewe ubarikiwe

Mkuu Palestinian ni wanyama kama jamaa alivyosema Yani hakuna kitacho badilika hapo labda wauwe wote na ukweli ni kwamba hao unao waona ni hapo Gaza wako wengne wng kila mahali sasa usidhani ndio mwisho nakwambia ni mwanzo labda waondoke
Umeongea sahihi kabisa!! Ni kama Israel piah wapo wengi sana na hiyo vita Mkuu siyo mwanzo ni tangu zamani hayo mataifa yanagombana na hiyo haitoisha huwa unatulia inarudi kwaiy hapo n mwendelezo siyo mwanzo .
Lakini Mara nyingi Israel huwa anashinda hiyo Vita.
 
😂 huyo aliye tuma barua UN nani Hamasi au ni puppet wa Israel Mahmoud Abbas huyo FYI kikundi cha Hamasi wala hawana habari naye.

Hivi umemsikia Abu Obeida spokesman anasema nini anasema Israel jeshi Lake ni kama panzi tu na vikosi vya Hamasi bado vinachapa kazi ndani kule kwenye camp za kijeshi za Israel na amesema Israel asahau kushinda vita hi wamejipanga vizuri tu Israel ataishia piga majumba tu.

Hivi we akilini kwako Israel angekuwa anaweza vita angekimbilia kukata umeme na maji na kupiga magari ya ambulance 😂

Israel vita haviwezi hivi na huyo US pia hawezi fanya kitu sababu ndege zake zinapiga Gaza na hakuna kitu wanacho pata zaidi ya kuvunja majumba ya raia wasio na makosa Hamasi wanarusha missiles kama kawaida na wanaingia na kuteka waisrael kila siku.
Nakukumbusha tena acha story za uongo na kweli. Uzuri huu uzi tupo hapa utaona matokeo ya mlicho chokoza. Tusioongee sana
 
Kizazi cha mtoto wa agano wa Mungu yaani Isaka anavurugiwa urithi wake na mtoto asiye wa agano yaani Ishamael na sasa ni rahisi kujua imani ya shetani imepitia kwa nani na Imani ya Mungu wa kweli imepitia kwa nani kwa kifupi hii vita ni watu wa Mungu na Mungu wao wanapambana na watu wa shetani na miungu yao.
Lakin wote walibarikiwa
 
Kuwa Mkristo Gaza ni rare phenomenon sana kama eneo lolote la kiarabu. Huko huruhusiwi hata kuwa na biblia. Ni salama sana kuwa Mkristo huko Uyahudini instead. Mnajificha kwenye ishu ya kidini kutaka tuwaonee huruma Hamas, nah!! Wanaokufa ni Waislam maana ndiyo wanaopigana, ndiyo aggressors, ndiyo target ya IDF, not otherwise. Wakristo wa kiarabu Gaza hutafuta hifadhi huko Isreal ambako hawawezi kuwa prosecuted na Waarabu Waislam. Its true Wayahudi wanamsubiri mwokozi hadi leo, na kuna namna baadhi huonesha dharau kwa Mkristo yeyote, but hawana hasira za kuua, kukushitakia uongo, au kukufanya uishi kama mtumwa, Gaza ndo hukumu hizo zipo huko, Wakristo wanateseka sana, all over Arab countries tena kwa sharia law, unahukumiwa kufa au kupigwa mawe hadharani kisa imani yako ya Kikristo . Muogopeni sana Mungu mnapopost uongo kama huu, kuwa Mkristo nchi za kiarabu ni kuwa tayari kufa wakati wowote. Wakristo huko Gaza ni almost hawapo, na waliopo wala hawajishughulishi na huu ugomvi. Kuwa caught kwenye crossfire inaweza kutokea kwa mtu yeyote anayeishi Gaza kwa sasa, lakini target ya Israel ni hao militants, ndiyo maana wanawatahadhalisha raia mapema ondokeni kwenye jengo fulani tunalipiga soon. Wanaoua kwa makusudi innocent civilians ni hao Hamas, not IDF.
Unaweza kututhibitishia kuwa haya uliyoandika ni ya kweli??
 
Back
Top Bottom