LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kabla ya 1947 ilikuwepo palepale walipo sasa, ila miaka mingi kabla hawakuwepo pale.
Ni kama vile Zanzibar ambavyo ingekuwepo kama Sultan angeendelea kuwepo.
Mfano mzuri ni Sudan ya Khartoum na Sudan Kusini. Ndivyo walivyokua wakiishi Israel na Palestine.
1947 walipigana vita ya kitu gani?
 
Hamas imeshachinja 260 juzi kwenye tamasha la mapapai. Mbona hilo unalisahau?

Imechinja uwanjani wazi, kweupe, na wala siyo kwa kujificha. Allahu Akbar.
 
Hawa jamaa are naive wanataka kila shambulio Israel itakalo fanya Gaza itoe tahadhari ,wao walivyoangamiza wezao ma juzi walitoa tahadhari. Bila shaka mastermind wao Iran kwenye hii vita amewaingiza kwenye Tanuru LA moto maana turufu walio kuwa nayo wanaitegemea kwamba itapelekea kwamba watafanya prisoners swap imedoda ,myahudi kaziba masikio huku Gaza inageuzwa kuwa vifusi,na kwamaoni yangu wasijaribu kufanya hivyo, maana itakuwa ndio kama wanamwaga mafuta kwenye moto unao waka ,watasafishwa kuwa somo kwa wengine watakao chezea sharubu za myahudi .
 
Hao unaowasifu ndio wametuma barua UN council wakilalamika kipigo. We subiri tu si tupo hapa utaona kelele zinatoka upande upi
😂 huyo aliye tuma barua UN nani Hamasi au ni puppet wa Israel Mahmoud Abbas huyo FYI kikundi cha Hamasi wala hawana habari naye.

Hivi umemsikia Abu Obeida spokesman anasema nini anasema Israel jeshi Lake ni kama panzi tu na vikosi vya Hamasi bado vinachapa kazi ndani kule kwenye camp za kijeshi za Israel na amesema Israel asahau kushinda vita hi wamejipanga vizuri tu Israel ataishia piga majumba tu.

Hivi we akilini kwako Israel angekuwa anaweza vita angekimbilia kukata umeme na maji na kupiga magari ya ambulance 😂

Israel vita haviwezi hivi na huyo US pia hawezi fanya kitu sababu ndege zake zinapiga Gaza na hakuna kitu wanacho pata zaidi ya kuvunja majumba ya raia wasio na makosa Hamasi wanarusha missiles kama kawaida na wanaingia na kuteka waisrael kila siku.
 
Hamas imeshachinja 260 juzi kwenye tamasha la mapapai. Mbona hilo unalisahau?

Imechinja uwanjani wazi, kweupe, na wala siyo kwa kujificha. Allahu Akbar.
Hivi hii dini inayofundisha kushabikia kuchinja binadamu siielewi kabisa, ugaidi na uislamu vinashabihiana sana
 
BREAKING: Israel is now dropping bombs on South Lebanon near Marwahin
 
HAMAS who ambush unarmed innocent civilians, beheading children, raping women(its a custom to them) and killing elders, at the same time AIF people in the middle of a frightening war they still care for human life, knowing that the decisions made by a group of animals does not necessarily mean that the whole community should pay for their sins, Now I ask, WHO IS THE REAL CULPRIT HERE?

I CALL THEM SADISTIC.


View: https://twitter.com/HalawaMark/status/1711364873051877738?t=Eq7_vsz6104kjgFbeX3JZQ&s=19
 
Nami nimeuliza hilo pia, Israel ilikuwa wapi katika hii dunia kabla ya 1947
Wayahudi walikuwepo kwenye Ardhi ya Wapalestina kama walowezi.

Wakati huo eneo la Gaza lilikuwa chini ya uangalizi wa Uingereza yaani Britisha Mandate.

Waingereza walilitwaa eneo la Gaza baada ya vita vya Ottoman na kuliweka chini ya uangalizi wao hivyo kuanza kuwakaribisha walowezi wa kiyahudi.

Mwaka 1947 Waingereza wakawa wamemaliza muda wao wa uangalizi wa eneo hilo ambalo lote lilikuwa ni la wapalestina na ambao ndo ardhi yao.

Ila kabla ya hapo hapo miaka ya nyuma zaidi wayahudi walikuwa wakifanya kampeni ya kuhalalisha ukaazi wao hapo Gaza ili kuwa taifa kamili na kampeni hiyo au movement iliitwa Zionist Movement.

Na tarehe 14 mwezi Mei mwaka 1948 taifa la Israeli likatangazwa rasmi na hadi leo hiyo ni siku yao ya kusheherekea kuanzishwa kwa taifa la Israeli.

Lakini muda wote huo kulikuwa na ugomvi na mapigano makubwa ambayo baada ya vita kuu ya pili ya dunia kukawepo mgao mkuu ambao ulikuwa ndo chanzo cha mzozo wa hadi leo hii.
 
Hii vita ni kwa sababu inahusisha imani... Muislamu anakuwa upande wa Palestina na Mkristo upande wa Israel

Huku wahindu, budhaa na watu kutoka India, China, Korea, Japan wakishangaa hawa jamaa wanagombania nini [emoji23][emoji23][emoji23]

Wahindu wapo pamoja na muisrael,hindu na islamu ni maji na mafuta.
 
Shida sio lugha utakayochagua, hata ukielezea kisukuma ni sawa ...shida ni hizo reference utakazotumia na uhakika wake kihistoria.
Uwanja ni wako.


Wewe unaamini Quran imeshushwa kutoka kwa Mungu, ni sawa sikupingi...lakini unaona hiyo ndo inatosha kujustify hivi vita watu kuuana?

Yani Mfano leo mwamposa awaambie waumini wake kuwa Kenya ni mali Yao ya toka enzi halafu wakaivamia kwa reference ya mwamposa itakuwa sawa?
Hapana mkuu hiyo ni mada nyingine, haijustify kabisa na hao bila shaka wanawadhulumu wenzao.
 
Waziri wa ulinzi wa Israel
 
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli

Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.


Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.

Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.

Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.

Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.


Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.

Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.

Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.

Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI
View attachment 2774147
Hawa wabaguzi wakimalizana ni salama ya dunia. Wote ni watoto wa baba mmoja. Afrika ikipatwa madhara wala huwa hawajali. Kuna taarifa kuwa waisrael waliwahi kuwasaidia sana kiulinzi wakati wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.
 
Majibu ya Israel huwa ni ya kikatili mark my words huu ndo mwisho wa hamas na mwanzo wa maisha mabaya sana kwa wapalestina
Hakuna jipya. Israel ni matapeli yanaoiaminisha dunia kuwa yana nguvu. Kumbuka zama za Saddam akitishia mwisho wa dunia wakati alikuwa chiwawa tu. Israel bila marekani hata bongo tunaweza kuwachapa.
 
Naona atauchukua kabisa ukanda wa Gaza utakua wake
Waisrael wanajihadaa na kujitoa akili. Wakati wao wakitumia risasi na kuogopa kifo, wenzao wanazaana kama wadudu na wako tayari kujitoa mhanga kulinda haki na heshima yao. Hata hivyo, haya ni mambo ya ngoswe. Hawa ni watoto wa dugu moja Ibrahim
 
Back
Top Bottom