Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Yes silaha zako ziko kwenye underground si wanajeshi.Wapo underground
Wanajeshi wa Hamasi mbona wako vitani kama kawaida nilicho sema ni vigumu kuzipiga. Silaha zao haziko kwenye majumba kupiga majumba wanajua wazi silaha hazipo pale, ni dalili wazi wameishiwa Israel na US .
UD na Israel wanataka tu kuonyesha ubabe wao kwa kuwauwa wanawake na watoto
Silaha za Hamasi hawezi kuzipiga hata wapige maboom miaka 😂
Wa Israel na Wamarekani wameona kuingia ground war watacharazwa na Hamasi
Wanapeleka hasira zao kuvunja majumba na kawauwa wanawake, watoto na wazee wasi na hatia et Super power vipi Super power anaogopa kuingia gaza 😂 ataishia vunja majumba tu na Hamasi atarusha missiles kama kawaida.